Latest updates for Muhula Wa Pili Wa Rais Uhuru Kenyatta

Fresh curated links around muhula wa pili wa Rais Uhuru Kenyatta are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta
  • Uhuru: Ruto au kiongozi yeyote hafai kujilazimisha kwa Wakenya
  • Ruto ajipigia debe akizindua awamu ya pili ya mpango wa Nyota

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 week ago

Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta

Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /23 hours ago

Uhuru: Ruto au kiongozi yeyote hafai kujilazimisha kwa Wakenya

RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta na Rais William Ruto wameendeleza mvutano wao wa kisiasa huku wakitofautiana kuhusu uchaguzi wa 2027, nafasi ya upinzani na maendeleo ya serikali....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto ajipigia debe akizindua awamu ya pili ya mpango wa Nyota

RAIS William Ruto Ijumaa alizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara vijana (NYOTA), katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mawaziri na maafisa wengine...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mlimani: Gachagua kumkabidhi Uhuru ripoti kuhusu ‘ground’

MIKUTANO ya siku 45 inaoendelea nyumbani kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, imeibuka kuwa jukwaa muhimu la kujadili mwelekeo wa kisiasa wa eneo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Malumbano ya ubabe Mlimani kati ya Gachagua, Munya raha kwa Ruto

MALUMBANO yanayoendelea kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na baadhi ya viongozi wa eneo la Mlima Kenya huenda yakawa habari njema kwa Rais William Ruto anapojiandaa kut...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mrengo mpya sasa waibuka Mlimani kumuunga mkono Ruto

HUKU vita vya kisiasa kudhibiti kura za eneo la Mlima Kenya vikizidi kushika kasi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, mrengo wa tatu wa kisiasa unaohusishwa na Rais William Ruto umeibu...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Vita mgombea mwenza wa Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinamizi la kuamua mgombea mwenza wa Ruto 2027

KINYANG'ANYIRO cha urais wa 2027 kimeanza kushika kasi, lakini nyuma ya pazia kuna pambano jingine lenye uzito mkubwa kumchagua mgombea mwenza. Muungano wa Kenya Kwanza unaoong...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Ruto Credits Uhuru for Two-Year Break That Produced Kenya Kwanza Plan

President William Ruto has claimed former President Uhuru Kenyatta granted him a two-year leave of absence, which the former Deputy President said he used to develop the Kenya Kwan...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ol Kalou: Gachagua sasa apaa huku Uhuru, Kindiki wakiyumba Mlimani

USHINDI mkubwa wa mgombea wa Democracy for Citizens Party (DCP), Sammy Kamau Ngotho, katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou umeibua mjadala mpya kuhusu mwelekeo wa siasa za Ml...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto abadili mbinu za Uhuru kwa kuangazia mradi wa nyumba za bei nafuu

RAIS William Ruto ameweka mkazo kwenye miradi ya nyumba za bei nafuu, utoshelevu wa chakula na miradi ya maendeleo ya jamii tofauti na mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, ambaye aliji...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

TIFA: Sifuna sasa kifua mbele kupambana na Ruto 2027

TAKRIBAN thuluthi mbili ya wafuasi wa kiongozi wa Democracy for the Citizens (DCP) Rigathi Gachagua wanaompinga Rais William Ruto wanaamini hafai kuwania urais mwaka ujao, bali amu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Oburu ‘Youth Leader’ naye ataka nafasi ya Naibu Rais

IDADI ya wanaomezea mate wadhifa wa Naibu Rais katika muungano wa kisiasa unaounga mkono Rais William Ruto imeendelea kuongezeka, viongozi wa Orange Democratic Movement (ODM) pia w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Jiandae kwa mwaka mgumu, Kalonzo amuonya Ruto

KIONGOZI wa Wiper Patriotic Party, Kalonzo Musyoka, amemuonya Rais William Ruto kwamba mwaka wake wa mwisho mamlakani utakuwa mgumu, huku upinzani ukiahidi kuongeza ukosoaji wa ser...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

UCHANGANUZI: Si rahisi vile kwa Ruto kumtema Kindiki uchaguzi wa 2027

RAIS William Ruto anakabiliwa na uamuzi mgumu wa kisiasa na kikatiba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 kufuatia kufurushwa kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani Oktoba...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wantam! Uhuru aanza kupanga majenerali kukabili Ruto 2027

RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza mkutano muhimu wa Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Jumatatu, hatua inayotafsiriwa kama kurejea kwake katika siasa za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ruto aendeleza juhudi za kuvutia vijana akitafuta Tutam

RAIS William Ruto ameongeza juhudi za kuwavutia vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 baada ya kuzindua mpango wa Sh2 bilioni wa kuwawezesha kupata ajira kupitia mafunzo kazini, na...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Hichilema ashinda tena urais Zambia

Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi wa urais na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, katika ushindi unaompa nafasi ya kuendeleza mpango wake wa kurekebisha uch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto afufua maono ya hayati Raila katika Ruwaza yake ya 2060

RAIS William Ruto alipozindua mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa Kenya baada ya Ruwaza ya 2030 wiki hii, aliutaja kama juhudi mpya za kuwapa mwongozo wa muda mrefu utakaonufa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto apanua kikosi chake Ukambani kukabili Kalonzo

MAPAMBANO ya kisiasa ya kuwania takriban kura milioni mbili za Ukambani yamepamba moto baada ya Rais William Ruto kupanua orodha ya washirika wake katika eneo hilo kuelekea uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Ndindi Nyoro akoroga hesabu za Gachagua Mlimani

KIONGOZI wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua anakabiliwa na changamoto mpya katika juhudi zake za kudhibiti siasa za eneo la Mlima Kenya, mwezi mm...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mpango wa Uhuru kufufua Azimio wapingwa vikali na vyama vya Upinzani

MPANGO wa Rais (mstaafu) Uhuru Kenyatta wa kufufua muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 umepingwa vikali na baadhi ya vyama vya upinzani, hali inayo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sababu za uchaguzi wa Ol Kalou kugeuka kufa kupona kati ya Uhuru, Ruto na Gachagua

UCHAGUZI mdogo wa ubunge wa Ol Kalou unaotarajiwa kufanyika Julai 16 umegeuka kutoka kuwa uchaguzi wa kawaida wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu mbunge David Kiaraho hadi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: Mkutano wa faragha kati ya Gachagua, Wanjigi wazua gumzo

MKUTANO wa faragha kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Kiongozi wa Safina Jimi Wanjigi nyumbani kwake Wamunyoro kunaonekana kuvuruga hesabu za urais ndani ya muungano...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Muhula Wa Pili Wa Rais Uhuru Kenyatta

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source