Kindiki apiga kambi Mlimani siasa za Mt Kenya East na West zikichacha
NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki amekita kambi eneo la Mlima Kenya baada kubainika kuwa ndani ya siku 58 pekee amefanya mikutano 15. Kuanzia Machi 1, 2026 hadi Aprili 27, 2026,...