Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Bajeti.
Fresh curated links around bajeti are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni.
Wizara ya Fedha imeweka wazi vipaumbele vinane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake pamoja na taasisi zilizo chini yake, huku ikiomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh21.3 trilion...
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...
HUKU wabunge wakirejelea vikao vya bunge kesho baada ya mapumziko ya mwezi mmoja, viongozi hao wa kisiasa wameonya kuwa bajeti kubwa ya Sh4.8 trilioni itakuwa mzigo mkubwa kwa raia...
Wakati Baraza la Wawakilishi likihitimisha siku 47 za mjadala wa bajeti na kupitisha makadirio ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Sh8.5 trilioni, si takwimu za fedha ndizo zilizo...
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik amesema bajeti ndiyo nyenzo kuu inayotumiwa na Serikali kutekeleza sera na mipango ya maendeleo.
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia ra...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kupitia bajeti ya Sh108.02 bilioni iliyo...
WAZIRI wa Fedha, John Mbadi, aliwasilisha jana bajeti ya Sh4.82 trilioni ya mwaka wa kifedha wa 2026/27 huku serikali ikijivunia kuweka mikakati ya kuendeleza uchumi, kuboresha hud...
[Daily News] DODOMA -- THE government yesterday unveiled a 62.33tri/- national budget for the 2026/27 financial year, designed to improve the lives of Tanzanians, strengthen the ec...
SERIKALI inapanga kukopa zaidi ya Sh1 trilioni kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha ujao ya Sh4.8 trilioni, huku pengo la bajeti likikadiriwa kufikia takriban Sh1.1 trilioni, Wazir...
VIJANA nchini ni miongoni mwa walionufaika zaidi katika bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha, John Mbadi, huku serikali ikitenga mabilioni ya fedha...
Soma hapa...
[Daily News] THE National Assembly has approved the 62.33 tri/- national budget for the 2026/27 financial year, with the government pledging to strengthen domestic revenue collecti...
Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo.
Soma zaidi hapa...
Wizara ya Maji, Nishati na Madini imepanga kutekeleza bajeti yake ya Sh475.39 bilioni kwa kuzingatia vipaumbele vinane vikiwamo kuimarisha mtandao wa maji, uzalishaji wa umeme na k...
KENYA inaanza mwaka mpya wa kifedha mwezi ujao ikiwa na pengo la zaidi ya Sh1.1 trilioni katika bajeti, hali inayoonyesha pengo kubwa kati ya mapato yanayokusanywa na serikali na k...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.
MUUNGANO wa upinzani jana ulizindua kile ulichokiita Bajeti ya Wananchi na kuwataka wabunge kukataa Bajeti ya Serikali ya Sh4.82 trilioni pamoja na Mswada wa Fedha wa 2026, ukisema...
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha 2026/27 ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji na usambazaji wa habari.
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.