Jinsi suala la ‘kuachiana ngome’ linavyogonganisha vichwa ndani na nje ya serikali
SWALI la ni nani atakuwa na wagombea wepi linaondokea kuwa kikwazo kikuu katika kuunda miungano ya kisiasa Kenya kuelekea katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku mzozo huo ukitokota nda...