Latest updates for #Chamachaodm

Fresh curated links around #ChamaChaODM are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • ODM yaanza kujivumisha ikilenga kudumisha umaarufu wake Nairobi
  • Itakuwa kibarua ODM kuwika ngome ya Mulembe baada ya kumtimua Sifuna
  • ODM yafufua wito wa kutaka kushirikishwa kwenye fidia ya wahanga wa maandamano

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

ODM yaanza kujivumisha ikilenga kudumisha umaarufu wake Nairobi

CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) katika Kaunti ya Nairobi kimeanzisha kampeni ya kuimarisha umaarufu wake mashinani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Hii ni siku chache...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Itakuwa kibarua ODM kuwika ngome ya Mulembe baada ya kumtimua Sifuna

ODM sasa ina kibarua kudumisha umaarufu wake Magharibi mwa nchi baada ya kukamilisha mchakato wa kumwondoa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kutoka wadhifa wake kama katibu mkuu. B...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM yafufua wito wa kutaka kushirikishwa kwenye fidia ya wahanga wa maandamano

CHAMA cha ODM kimetaka kushirikishwa kikamilifu katika mchakato wa kuwafidia waathiriwa wa ukatili wa polisi na ukiukaji wa haki za binadamu uliotokea wakati wa maandamano kati ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

ODM katika hatari ya kupoteza Nairobi

CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kinakabiliwa na kazi ngumu kudumisha ubabe wake jijini Nairobi katika uchaguzi wa 2027 baada ya kifo cha kigogo Raila Odinga. Tangu 2005...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /11 hours ago

ODM yasisitiza sera zake zijumuishwe manifesto ya Ruto

CHAMA cha ODM kinataka baadhi ya sera zake muhimu zijumuishwe katika manifesto ya uchaguzi ya Rais William Ruto ya 2027 kama sehemu ya makubaliano ya kabla ya kuunda muungano kati...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM imekufa kisiasa,inaendeshwa na Ikulu -Sifuna

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna amesema chama cha ODM kimepoteza mwelekeo wake wa kisiasa na sasa maamuzi yake yanafanywa kutoka Ikulu. Akizungumza jana akiwa na Gavana wa Siaya,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Aladwa: Nitakuwa debeni na ODM lazima iungwe mkono kiti cha ugavana Nairobi

BAADHI ya viongozi wa ODM jijini Nairobi wamekataa wazo la kugawana nyadhifa za kisiasa na UDA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, wakisisitiza kuwa ODM ndiyo inafaa kutoa mgombeaji wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Oparanya sasa ndiye kigogo wa ODM aliyependekezwa kuwa mgombea mweza wa Ruto 2027

WAZIRIwa Vyama vya Ushirika, Wycliffe Oparanya ameibuka chaguo bora ODM kwa wadhifa wa mgombea mwenza wa urais kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya miezi kadhaa ya mashauriano...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Aladwa awarai wanachama wa ODM wasusie maandamano Saba Saba

BAADHI ya viongozi wa ODM katika Kaunti ya Nairobi wamewataka wafuasi wao wasishiriki maandamano ya Saba Saba ambayo yanapangwa kufanyika hapo kesho. Wakiongea Nairobi Jumapili,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Msining’inie koti langu, Oburu aambia wawaniaji wa ODM 2027

KIONGOZI wa ODM, Dkt Oburu Oginga, amewaonya wawaniaji wanaodhani watapata tikiti ya moja kwa moja akisema lazima wajitetee kwa raia kupitia utendakazi wao. Dkt Oginga amesema k...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kauli ya Oburu kwamba hatabeba yeyote mgongoni iandamane na vitendo

KAULI ya Kinara wa ODM, Dkt Oburu Oginga kuwa hakuna mwanasiasa atakayening’inia koti lake katika uteuzi wa chama na kuwa kutakuwa na uteuzi huru inastahili kuandamana na vitendo....

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Chadema, Chaumma vinavyopambana kukusanya fedha kwa makada na Watanzania

Vyama vya Chadema na Chaumma, vimeendelea kuchanja mbuga na kampeni za uhamasishaji wananchi kuvichangia fedha kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za uimarishaji wa vyama hivyo.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mbadi: Nitaendelea kuvumisha ODM na Tutam!

WAZIRI wa Fedha, John Mbadi amesema hataacha kushiriki siasa za ODM licha ya shinikizo kuwa maafisa wa serikali wajiepushe na siasa za moja kwa moja kuelekea uchaguzi wa 2027. B...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM na UDA zapoteza ngome wanasiasa wakijipanga kwa 2027

HATUA ya baadhi ya vyama kujipanga kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 imeanza kubadili mwelekeo wa vyama hivyo huku utafiti mpya ukionyesha kuwa umaarufu wa chama cha UDA na ms...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

ODM yazua dhoruba kwa kung’ang’ania kiti cha Kindiki mkutanoni Naivasha

MVUTANO kuhusu nani atakuwa Naibu Rais iwapo Rais William Ruto atashinda muhula wa pili uliibuka katika kikao cha faragha cha viongozi wa Kenya Kwanza na ODM mjini Naivasha Jumatat...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

ODM sasa yamkalia Ruto ngumu kuhusu 2027, yataja matakwa 8

CHAMA cha ODM kimeweka matakwa manane mbele ya Rais William Ruto kabla ya uchaguzi wa 2027, huku viongozi wa chama hicho wakitarajiwa kuyajadili katika mkutano wa siku tatu wa seri...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

ODM sasa yaelekeza shoka kwa Osotsi Seneti baada ya ‘kummaliza’ Sifuna

CHAMA cha ODM sasa kinapanga kumng'oa Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi katika wadhifa wa mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Kaunti na Hazina Maalum ya Seneti (CPIC), wiki moja tu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Siasa sasa zapelekwa WhatsApp uchaguzi wa 2027 ukikaribia

KATIKA siasa za Kenya za sasa, mapambano makali hayafanyiki tena kwenye mikutano ya hadhara, Bunge au runinga pekee. Sasa vita hivyo vimechacha kwenye makundi ya WhatsApp. Makun...

Read source
nairobiwire.com /2 weeks ago

Rigathi Gachagua Welcomes First ODM-Elected Leader to DCP

Ewuaso Oonkindongi Member of County Assembly (MCA) Joseph Ole Torris has dumped the Orange Democratic Movement (ODM) to join the Democracy for the Citizens Party (DCP). DCP Party L...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi waanza kuhama vyama wakijipanga kwa 2027

VYAMA vikuu vya kisiasa nchini vinaendelea kukumbwa na wimbi la viongozi kuhama huku maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 yakishika kasi. Chama tawala cha United Democratic Allianc...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oburu akejeli Orengo kushiriki maandamano akipuuza kaunti

KIONGOZI wa ODM Dkt Oburu Odinga amemkosoa vikali Gavana wa Siaya James Orengo kwa madai ya kupuuza utoaji wa huduma kwa wananchi huku akijikita zaidi katika siasa za kitaifa na ma...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ol Kalou: Gachagua sasa apaa huku Uhuru, Kindiki wakiyumba Mlimani

USHINDI mkubwa wa mgombea wa Democracy for Citizens Party (DCP), Sammy Kamau Ngotho, katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou umeibua mjadala mpya kuhusu mwelekeo wa siasa za Ml...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sababu tatu kuu za Sifuna kukwama ODM

UAMUZI wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupinga mahakamani hatua ya ODM kumuondoa katika wadhifa wa Katibu Mkuu, unatazamwa na wachanganuzi wa siasa kama mkakati wa kumpa muda, ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oburu: Huku Luo Nyanza wimbo ni tutam

VIONGOZI wa ODM Luo Nyanza wameapa kuwa ‘watakufa’ na Rais William Ruto hadi 2027 kutokana na uimarishaji wa miundomsingi eneo hilo. Wakiongozwa na Seneta wa Siaya, Dkt Oburu Og...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering #Chamachaodm

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source