UFUGAJI: Mtindo wa kisasa wa kutunza ndama anapozaliwa kuzuia vifo na maradhi
HARAKATI za ufugaji, zinamhitaji mfugaji wa ng'ombe kutumia utaratibu na kanuni bora ili kutengeneza kizazi kizuri cha mifugo wake kwa siku zijazo. Harakati hizi zinajumuisha pia...