ODM yafufua wito wa kutaka kushirikishwa kwenye fidia ya wahanga wa maandamano
CHAMA cha ODM kimetaka kushirikishwa kikamilifu katika mchakato wa kuwafidia waathiriwa wa ukatili wa polisi na ukiukaji wa haki za binadamu uliotokea wakati wa maandamano kati ya...