Latest updates for #Hasarayamaandamano
Fresh curated links around #HasaraYaMaandamano are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Vuguvugu la maandamano, ulinzi usipime
- MAHUBIRI: Siri ya kuendelea mbele pamoja na Mungu
- Hatari ya kupanda malori ya mizigo
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
MAHUBIRI: Siri ya kuendelea mbele pamoja na Mungu
Bwana Yesu asifiwe, karibu tena siku nyingine ya baraka kwetu sote, ninaitwa Mwalimu Erasto Maliganya. Karibu kwenye tafakari ya Neno la Mungu lililohai kwenye maisha yetu.
Mwanaisha asimulia safari ya kulea mwenye ulemavu pake yake
Soma hapa...
Hisia kali Maraga akikamatwa kwa kuandamana kupinga utwaliwaji ardhi ya mbuga
JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga Jumatatu alikuwa kati ya watu walionyakwa wakati wa maandamano ya amani ya kupinga mpango wa serikali kuanzisha kituo cha kuwatunza wanyama katika mb...
Mambo manne yanayokwamisha kurejea kwa Mwendokasi Kibaha
Soma hapa...
Karua na Kanjama watoroka ghasia zilipozuka shule ya kijamii ya Gatoto
JARIBIO la kukabidhi umiliki wa Shule ya Msingi ya Jamii ya Gatoto iliyoko Mukuru kwa Reuben kwa wamiliki wake wa kibinafsi lilikwama Alhamisi baada ya umati wenye hasira kuwafurus...
Makada CUF wapanga kuandamana, Msajili atoa kauli
Soma hapa...
Sharti la kuingia gesti kwa Nida lazua mambo
Soma zaidi hapa...
Kalonzo, Karua, Maraga na Wamalwa wajiunga na maandamano, waelekea majengo ya Bunge
Viongozi wa upinzani wamejitokeza katikati mwa jiji la Nairobi kuungana na familia za waathiriwa wa maandamano ya Gen Z miaka ya 2024 na 2025. Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyok...
FYATU MFYATUA: Tuchangamkie misaada dunia imebadilika kiaina!
Soma hapa...
Makada Chadema walivyohojiwa Polisi kuhusu maandamano
Soma hapa...
TAHARIRI: Nani aliyelala kazini shuleni Utumishi Girls?
TAIFA la Kenya kwa mara nyingine linaomboleza baada ya mkasa wa kutisha wa moto katika Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academy, Gilgil, Nakuru kuua wanafunzi 16 huku wengine wapat...
Jinsi ya kujibu maswali ya Fasihi Simulizi
SOMA hadithi ifuatayo kisha jibu maswali. Mababu zetu waliturithisha heshima, utu, utamaduni imani na upendo. Tunatambua nia yao njema ya kuona jamii ikiishi kwa utulivu, umoja,...
Utu wa polisi wadhihirika wakimsaidia mlemavu aliyekwama kwenye maandamano
UTU wa polisi ulijitokeza kwa namna ya kipekee wakati wa maandamano yaliyotikisa mji wa Machakos, Mei 18, 2026 pale maafisa wa usalama walipoonekana wakimsaidia mwanamume mlemavu a...
Sura mbili agizo la Chalamila Dar ipendeze
Soma zaidi hapa...
Viongozi vijana wapanga msafara wa amani Gusii baada ya shambulio la Linda Mwananchi
SIKU chache tu baada ya mtu mmoja kuuawa wakati wa shambulio dhidi ya msafara wa Linda Mwananchi huko Keumbu, viongozi vijana kutoka eneo la Gusii wametangaza msafara wa amani ili...
Haitatusaidia kulaumiana, asema Ruto akizindua fidia ya Sh2bn kwa wahanga wa maandamano
WAHASIRIWA zaidi ya 1,000 wa ukiukaji wa haki za kibinadamu, ikiwemo ukatili wa polisi na vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi, wataanza kupokea malipo yao fidia kuanzia wiki...
Hatari ya kubeba vifurushi usivyovifahamu
Soma zaidi hapa...
Zaheer kuhojiwa, Arati akijitetea kuhusu ghasia za Keumbu
GHASIA za Ijumaa dhidi ya msafara wa Linda Mwananchi katika Kaunti ya Kisii ambapo mtu mmoja aliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa zinaonyesha jinsi ushindani wa kisiasa unavyoendel...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.