Ahadi ya Mbadi ya kupunguza ushuru wa PAYE yageuka hewa; haiko kwenye Bajeti 2026
WAZIRI wa Fedha, John Mbadi ameghairia nia kuhusu ahadi ya kupunguza ushuru wa mshahara kwa wafanyakazi walioajiriwa wanaolipwa chini ya Sh50,000. Kwenye Mswada wa Fedha wa 2026,...