Isaac Ruto asema ana imani atashinda mchujo wa UDA kwa ugavana Bomet
ALIYEKUWA Gavana wa Bomet, Isaac Ruto, ametangaza kuwa ana imani atashinda uteuzi wa UDA na kurejelea kiti chake katika uchaguzi mkuu 2027. Bw Ruto alisema kuwa uchaguzi wa mashin...