ODM kujipima nguvu kwa mara ya kwanza bila Raila
CHAMA cha Orange Democratic Movement kimeanzisha mikakati ya ndani ya kujitathmini kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 huku kukiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wake bila kiong...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Mgogoro Ndani Ya Odm.
Fresh curated links around Mgogoro ndani ya ODM are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
CHAMA cha Orange Democratic Movement kimeanzisha mikakati ya ndani ya kujitathmini kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 huku kukiwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wake bila kiong...
MJADALA unaoendelea ndani ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wa kuhifadhiwa maeneo ya kisiasa amabyo inadai ni ngome yake, unaonyesha kimefifia na huenda kikakosa makali...
Ilianza kwa mikutano ya chinichini na ishara za kisiasa za heshima, kisha ukafuata uteuzi wa wanachama wa upinzani katika Baraza la Mawaziri, na baadaye majukwaa ya pamoja ya kisia...
KIONGOZI wa ODM, Dkt Oburu Oginga ametangaza kuwa mara hii chama hicho kitaandaa uteuzi wa haki na huru wala hakuna atakayependelewa kutokana na ukuruba wake na uongozi wa chama....
Gavana wa Siaya James Orengo ameikosoa vikali mipango inayoendelea ya kuhifadhi ngome za kisiasa ndani ya Orange Democratic Movement (ODM), akisema ni ishara tosha kuwa chama hicho...
RAIS Ruto amewalaumu baadhi ya wanasiasa kwa kukubali kutumiwa kuzua mgawanyiko huku akisisitiza kuwa ushirikiano wa UDA na ODM utadumu hata baada ya uchaguzi mkuu wa 2027. Rais a...
KIFO cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga mwaka jana kimeitumbukiza familia yake katika mojawapo ya migogoro mikubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika chama chake cha ODM. Chama h...
VIONGOZI wa Linda Mwananchi ndani ya ODM wametoa makataa makali kabla ya kuridhiana na wenzao wa Linda Ground inayoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga. Linda Mwananchi ina...
KATIKA kile kinachoashiria mpasuko mkubwa ndani ya Serikali Jumuishi, chama cha ODM sasa kinatishia kujiondoa katika ushirikiano huo kikidai wabunge wake wananyanyaswa na kulazimis...
KIONGOZI wa chama cha ODM, Dkt Oburu Oginga, Mei 08, 2026 alijitokeza hadharani baada ya kutoweka kwa takriban wiki mbili na kuwahakikishia Wakenya kuwa yuko salama na mwenye afya...
KINARA wa ODM Dkt Oburu Oginga amekuwa akijirejelea kama ‘kiongozi wa vijana’ kudhihirisha kuwa uongozi wake unamakinikia masuala ya vijana na changamoto zinazowakumba. Licha ya u...
SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...
HUENDA ODM ikakosa mwaniaji wa urais na mgombeaji mwenza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa 2007 katika uchaguzi mkuu ujao. Hii ni baada ya kiongozi wa chama hicho, Dkt Ob...
MBUNGE wa Makadara George Aladwa sasa anataka UDA iachie ODM kiti cha ugavana wa Nairobi akitaka suala hilo lijumuishwe kwenye muafaka kati ya vyama hivyo viwili kuelekea uchaguzi...
KIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), Oburu Oginga, hajaonekana katika hafla muhimu za chama hicho katika siku za hivi karibuni, hali iliyozua uvumi mkali kuhusu...
MKUTANO kati ya Orange Democratic Movement na United Democratic Alliance uliofanyika ikulu jana ulifichua mvutano wa wazi, huku tofauti kali zikijitokeza kuhusu uhifadhi wa ngome z...
VYAMA vya ODM na UDA sasa vipo kwenye mzozo mkali kuhusu msimamo wa chama hicho cha chungwa kuwa chama tawala kisiwe na wagombeaji katika ngome zake. Viongozi wa ODM sasa wanamtak...
MVUTANO unaoendelea kati ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na Katibu wake Mkuu Edwin Sifuna unaashiria dalili za kudumu kwa muda mrefu. Bw Sifuna, ambaye ameshtakiwa...
UAMUZI wa Rais William Ruto na Seneta Oburu Oginga wa Siaya kuteua Gavana wa Homa Bay, Gladys Wanga, na mwenzake wa Embu, Cecily Mbarire, kuongoza mazungumzo kati ya Orange Democra...
LICHA ya chama tawala UDA na kile cha ODM kuungana katika Serikali Jumuishi, migawanyiko ya viongozi kutoka eneo la Pwani inaendelea kujitokeza huku wafuasi wa vyama hivyo wakionye...
BAADHI ya viongozi wa ODM kutoka Kaunti ya Kisumu wameonya chama hicho kwamba hawatakubali demokrasia ya maafikiano katika kinyang’anyiro cha ugavana mnamo 2027, wakisisitiza kuwa...
Ziara za mara kwa mara za Rais William Ruto katika eneo la Nyanza tangu ukuruba wake na marehemu Raila Odinga zimeanza kubadili mwelekeo wa kisiasa eneo hilo, huku viongozi wa ODM...
MBUNGE wa Suba Kusini, Caroli Omondi amewakejeli viongozi wa Linda Ground kutokana na masaibu wanayoyapitia mikononi mwa UDA, na kusema wapo tayari kuwakaribisha tena ila kwa masha...
Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Oburu Oginga jana alisema kuwa mazungumzo yanayopendekezwa kati ya ODM na United Democratic Alliance (UDA) hayako hatarini, a...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.