Latest updates for Mbadi Asoma Bajeti Ya 2026-27
Fresh curated links around Mbadi asoma bajeti ya 2026-27 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Bajeti ya 2026/27 inavyoanza kung’ata leo
- BAJETI 2026: Serikali yasita kuanzisha ushuru mpya
- Bajeti ya madeni na ukopaji zaidi kuziba pengo la ukosefu wa fedha serikalini
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
BAJETI 2026: Serikali yasita kuanzisha ushuru mpya
SERIKALI haitaanzisha ushuru mpya wala kuongeza viwango vya kodi katika bajeti ya mwaka wa kifedha utakaoanza Julai 2026. Waziri wa Fedha John Mbadi alisema badala yake serikali i...
Bajeti ya madeni na ukopaji zaidi kuziba pengo la ukosefu wa fedha serikalini
SERIKALI inapanga kukopa zaidi ya Sh1 trilioni kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha ujao ya Sh4.8 trilioni, huku pengo la bajeti likikadiriwa kufikia takriban Sh1.1 trilioni, Wazir...
Kenya: Mbadi Links 2026/2027 Budget to Ruto-Raila Dream of Prosperous Kenya
[Capital FM] Nairobi -- Treasury Cabinet Secretary John Mbadi invoked the political ideals of President William Ruto and ODM leader Raila Odinga as he unveiled the Sh4.84 trillion...
TAHARIRI: Hii Bajeti mpya kamwe haiwezi kumkomboa mwananchi
WAZIRI wa Fedha, John Mbadi, aliwasilisha jana bajeti ya Sh4.82 trilioni ya mwaka wa kifedha wa 2026/27 huku serikali ikijivunia kuweka mikakati ya kuendeleza uchumi, kuboresha hud...
Gachagua: Bajeti ya 2026/2027 ni sumu kubwa
KIONGOZI wa Chama cha Democracy for the Citizens (DCP), Rigathi Gachagua, amepinga mapendekezo ya bajeti ya mwaka wa kifedha 2026/27 akisema yanalenga kuwaumiza wananchi. Bw Gac...
Serikali yatoa mapendekezo tele kwenye bajeti ‘kuwapanguza machozi Gen Z
VIJANA nchini ni miongoni mwa walionufaika zaidi katika bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha, John Mbadi, huku serikali ikitenga mabilioni ya fedha...
Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Siasa za ubabe: Pesa itaongea katika uchaguzi wa 2027
IKIWA kuna jambo ambalo wachambuzi wa siasa wanakubaliana nalo, ni kwamba uchaguzi mkuu wa 2027 unatarajiwa kuwa wa gharama kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini. Kuanzia ma...
CS Mbadi Set to Present Kenya’s Largest-Ever Ksh4.8 Trillion Budget
CS Mbadi is set to read his second budget at a time of high economic pressures resulting from the U.S.-Israel war on Iran.
Bajeti ngumu ya Ruto yaonyesha serikali itaendelea kutegemea mikopo
KENYA inaanza mwaka mpya wa kifedha mwezi ujao ikiwa na pengo la zaidi ya Sh1.1 trilioni katika bajeti, hali inayoonyesha pengo kubwa kati ya mapato yanayokusanywa na serikali na k...
SMZ kutumia Sh1 trilioni kuimarisha huduma za afya mwaka 2026/30
Kiwango hicho cha fedha kinachopangwa kutumika kwa miaka mitano ijayo ni ongezeko la zaidi ya mara sita ya Sh130 bilioni zilizotengwa miaka mitano iliyopita.
Wizara ya Fedha yaja na vipaumbele vinane ikionya kuwepo na vihatarishi
Wizara ya Fedha imeweka wazi vipaumbele vinane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake pamoja na taasisi zilizo chini yake, huku ikiomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh21.3 trilion...
Bajeti Kuu ya Zanzibar ya Sh8 trilioni yapita
Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni.
Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27
Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo.
Ni wiki ya madaraja na malipo kwa makandarasi
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...
Maendeleo ya Jamii waja na mpango kizazi cha Tanzania ya 2050
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kupitia bajeti ya Sh108.02 bilioni iliyo...
Hizi hapa bajeti za Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia ra...
Kaunti hatarini seneti, wabunge wakivutana kuhusu kiwango cha mgao
Wabunge na Maseneta wanavutana tena kuhusu Mswada wa Ugavi wa Mapato wa mwaka 2026, baada ya kikao cha kwanza cha kamati ya upatanishi kushindwa kufikia makubaliano kuhusu kiasi ch...
Tanzania’s National Budget 2026/27 to target key economic sectors in growth-driven plan
The Government has said the National Budget for the 2026/2027 financial year will focus on key economic sectors as it seeks to build a resilient economy anchored on digital transfo...
GenZ: Wabunge watetea raia kuhusu bajeti kubwa
HUKU wabunge wakirejelea vikao vya bunge kesho baada ya mapumziko ya mwezi mmoja, viongozi hao wa kisiasa wameonya kuwa bajeti kubwa ya Sh4.8 trilioni itakuwa mzigo mkubwa kwa raia...
Sekta binafsi, wasafishaji wataja maeneo muhimu bajeti 2026/27
Soma hapa...
Bajeti 2026: Wabunge waogopa ‘GenZ’, wafuta baadhi ya vipengele kupunguza hasira
WABUNGE nchini sasa wanaonekana kuchukua tahadhari kubwa wanapoandaa Bajeti ya Mwaka wa Kifedha 2026, huku Mswada wa Fedha wa 2026 ukizua mjadala mpana kuhusu kile kilichoondolewa...
Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.