Latest updates for Mauaji Ya Wapanga Mikakati Ya Uchaguzi Wa Ruto

Fresh curated links around Mauaji ya wapanga mikakati ya uchaguzi wa Ruto are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kesi kuhusu mauaji ya wapanga mikakati wa Ruto uchaguzi wa 2022 yasitishwa
  • Vita vya ndani vyatikisa kambi ya Ruto
  • Ruto alivyokutana na janga linaloendelea la uhuni katika mkutano wake Emurua Dikirr

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kesi kuhusu mauaji ya wapanga mikakati wa Ruto uchaguzi wa 2022 yasitishwa

MAHAKAMA Kuu jana ilizima kesi ya mauaji dhidi ya maafisa 15 wa usalama waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuwateka na kuwaua raia wawili wa India na dereva wa teksi Mkenya kabl...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vita vya ndani vyatikisa kambi ya Ruto

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto alivyokutana na janga linaloendelea la uhuni katika mkutano wake Emurua Dikirr

GHASIA za kisiasa zilitia doa ziara ya Rais William Ruto katika Kaunti ya Narok Jumatano, baada ya watu wasiopungua sita kujeruhiwa kwa mishale huku wengine kadhaa wakipata majerah...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

DPP aidhinisha mashtaka dhidi ya washukiwa wa mauaji ya Wakili Kyalo Mbobu

MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya washukiwa watano wanaodaiwa kuhusika na kifo cha wakili maarufu Mathew Kyalo Mbobu. Washukiwa hao n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Onyo kali la Uhuru kwa wakazi wa Mlima Kenya 2027

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpango wa Gachagua kuwachuja wafuasi wa Ruto ulivyofeli

BAADA ya chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP) kinachoongozwa na Rigathi Gachagua kushinda uchaguzi mdogo wa Ol Kalou mnamo Julai 2026, viongozi wengi waliokuwa wakimuun...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Moto kambi ya Ruto wandani wakivurugana wakisaka ubabe

UBABE wa kisiasa kati ya mawaziri au watumishi wa umma na wanasiasa wanaoumuunga mkono Rais William Ruto unaendelea kutokota, hali inayoweza kuathiri kuchaguliwa kwake tena mnamo 2...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake

Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ziara ya Ruto Nyanza mtihani mkubwa baada ya kifo cha Raila

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza kuanzia Jumapili, Septemba 13, imeibua mjadala mpana wa kisiasa huku wachambuzi wakisema ni zaidi ya ziara ya kawaida...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Vita vyazidi mrengo wa upinzani vinara waking’ang’ania vyama

UCHAGUZI Mkuu wa mwaka 2027 unapokaribia, ushindani wa kumng’oa Rais William Ruto unaonekana kugeuka kuwa vita vya ndani ya upinzani huku vinara wakuu wakisaka vyama vya kisiasa na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wabunge wa Mulembe wamuitisha Ruto kiti cha Kindiki kabla wapige kampeni ya ‘Tutam’

WABUNGE kutoka eneo la Magharibi wamempa Rais William Ruto orodha ya matakwa wanayotaka yashughulikiwe kabla ya eneo hilo kumuunga mkono katika uchaguzi wa 2027. Miongoni mwa mata...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Maraga atimiza vitisho, aanika ripoti ya polisi aliyompa Ruto

JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga ameonya kuwa Idara ya Polisi inayopendelea kisiasa inaweza kuingiza Kenya katika machafuko baada ya uchaguzi huku akimtaka Rais William Ruto kutekele...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Ruto atua ngome yake kuwarai wampe Tutam 2027

RAIS William Ruto ameanzisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wake katika Bonde la Ufa, akilenga kuongeza idadi ya wapiga kura kutoka 5.4 milioni waliojisajili mwaka 2022 hadi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto sasa atumia maafisa wa umma ‘kubembeleza’ Mlima

RAIS William Ruto sasa anawategemea makatibu wa Baraza la Mawaziri na maafisa wengine wa serikali kupeleka ujumbe wa serikali mashinani katika juhudi za kurejesha uungwaji mkono wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /22 hours ago

Changamoto mpya mirengo mitatu ikizuka katika upinzani

UPINZANI nchini unaonekana kukabiliwa na changamoto mpya huku viongozi wakipanga mikakati tofauti ya kumwondoa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi mkuu wa 2027.  Mikakat...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto amshambulia Orengo, amtaka aache kuwa ‘kibaraka wa Uhuru’, ajiunge na serikali

KATIKA siku yake ya tatu ya ziara ya Nyanza, Rais William Ruto alipeleka mapambano yake ya kisiasa dhidi ya vuguvugu la Linda Mwananchi hadi Siaya, ngome ya Gavana James Orengo, ak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM 

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto amponda tena Uhuru akimlaumu kuvunja makubaliano ya ‘Yangu kumi na Yako kumi’

RAIS William Ruto amemshambulia tena mtangulizi wake, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akimlaumu kwa kusaliti makubaliano ya kisiasa waliyofikia walipokuwa washirika na sasa kufadhili...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto akabiliwa na ugumu wa kuridhisha wapigakura wa Nyanza

RAIS William Ruto anakabiliwa na kitendawili cha kuvutia uungwaji wa wapigakura wa Luo Nyanza, ikisalia miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2027. Kilichosawiriwa kama ishara ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Vigogo wa ‘Broadbased’ waahidi Ruto kura milioni 7 Nyanza, Magharibi uchaguzi mkuu

WANASIASA wanaounga mkono serikali kutoka Nyanza na Magharibi wametangaza mipango ya kuendesha kampeni za pamoja kwa lengo la kumwezesha Rais William Ruto kupata kura milioni 7 mae...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mafuko wanaotishia umoja wa viongozi wa upinzani

SIASA za vibaraka wanaodaiwa kupenyezwa na serikali zimezua hofu na kutoaminiana katika upinzani na kutishia umoja wao kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Viongozi wa upinzani sasa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto azindua kauli mbiu mpya, aponda upinzani

RAIS William Ruto amegeuza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift kuwa jukwaa la kushambulia wapinzani wake kisiasa huku akiwataka kueleza mipango yao ya maendeleo kabla y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Natembeya, Ruto wakabana koo shughuli zikikwama Kitale

MVUTANO kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya kuhusu kutenga vibanda katika Soko la Masinde Muliro, Kitale, ulichacha jana huku polisi wakitumwa kuli...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Mauaji Ya Wapanga Mikakati Ya Uchaguzi Wa Ruto

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source