Jeshi la Polisi lamshikilia Madeleka, sababu zatajwa
Soma hapa...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for #Unyanyasajiwapolisi.
Fresh curated links around #UnyanyasajiWaPolisi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma hapa...
Soma hapa...
Soma hapa...
Soma zaidi...
Soma hapa...
Elimu ya ulinzi shirikishi inayotolewa na Jeshi la Polisi imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizochangia kupungua kwa mauaji yanayohusishwa na imani za kishirikina na mila potofu...
Kamanda Senga amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina kuhusu matukio hayo, sambamba na msako wa kuwabaini na kuwakamata wahusika ili wafikishwe mahakamani.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni ameshambuliwa kwa ngumi na mateke na dereva mmoja wakati akimzuia kutumia barabara ya huduma (Service Road) katika eneo la Lugalo,...
JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga ameonya kuwa Idara ya Polisi inayopendelea kisiasa inaweza kuingiza Kenya katika machafuko baada ya uchaguzi huku akimtaka Rais William Ruto kutekele...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imempa kibali aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi, Msalika Maagi, kuwasilisha maombi ya mapitio ya kimahakama kupinga uamuzi wa Mk...
Soma hapa...
INSPEKTA Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na makamanda wao kwamba, watawajibishwa binafsi kwa uhalifu unaotokea katika maeneo yao iwapo uzem...
Jeshi la Polisi wilayani Maswa, mkoani Simiyu, limegeuza maadhimisho ya miaka 20 ya dhana ya Polisi Jamii kuwa fursa ya kuwafikia wananchi kwa vitendo baada ya kutembelea Hospitali...
Ni moja ya matukio nadra, baada ya taarifa mpya kudai Polisi watatu wa nchini Kenya, walikuwa ni sehemu ya genge lililotekeleza mauaji ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Afrika...
Soma zaidi hapa...
Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwarejesha shuleni wanafunzi 114 kati ya wanafunzi 573 waliokuwa hawajaripoti shule licha ya kutakiwa kuanza masomo, kufuatia operesheni maalumu iliyo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia dereva wa basi kwa tuhuma za kuendesha gari huku akitumia simu ya mkononi, pamoja na kuwajibu lugha chafu abiria waliomuonya kuacha kit...
Soma hapa...
Jeshi la Polisi Tanzania limefungua milango ya kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara kutoka kwa vyama vya siasa na wadau wengine kwa kuzingatia sheria, kanuni na ta...
Soma zaidi hapa...
TAHARUKI ilitanda kwa muda mfupi eneo la Makutano, Meru wakati mwanamume anayeaminika kuwa afisa wa polisi aliporusha gesi ya kutoa machozi kwa mkutano wa Linda Mwananchi. H...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mkazi wa Mwananyamala, Hosamu Hamza maarufu 'Maopena', kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi pamoja na baba yake mdogo.
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.