Mwanamme ‘haibiwi’ na mwanamke mwingine, huchagua kwa hiari kuchepuka
MITANDAO ya kijamii imefurika jumbe za kutatanisha zinazohusisha wanawake “wakiwaanika” wanawake wenzao kwa wanachoita ‘kuwaibia” wanaume wao. Kila uchao, ni nadra kukosa kukumban...