Latest updates for Kang'ata Wa Barua

Fresh curated links around Kang'ata wa Barua are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kang’ata kupiga teke UDA kwatikisa ngome, baadhi wakimkosoa kutema chombo kilichomfaidi
  • Jinsi Kang’ata alikaa kando ya Rais Ruto Jumapili na kumruka peupe saa chache baadaye
  • Gachagua, Matiang’i kung’ang’ania kiti cha eneobunge la Ol Kalou

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kang’ata kupiga teke UDA kwatikisa ngome, baadhi wakimkosoa kutema chombo kilichomfaidi

GAVANA Irungu Kang’ata wa Murang’a ameibuka tena kama mmoja wa viongozi wanaotikisa siasa za Mlima Kenya, baada ya kutangaza kuwa hatawania tena ugavana kwa tiketi ya UDA mwaka 202...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Jinsi Kang’ata alikaa kando ya Rais Ruto Jumapili na kumruka peupe saa chache baadaye

HATUA ya Gavana wa Murang’a, Irungu Kang’ata kutema chama tawala cha UDA huenda ikavutia kisasi kutoka kwa serikali huku Kiongozi wa Wengi Bungeni, Kimani Ichung’wah akitishia kumw...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua, Matiang’i kung’ang’ania kiti cha eneobunge la Ol Kalou

SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...

Read source
kenyans.co.ke /3 weeks ago

Irungu Kang’ata Addresses DCP Links After Ditching UDA

The revelation came hours after the Murang'a governor announced that he would not be seeking reelection as governor under the president's party.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kwa aina hii ya vyama, bora tuwe na mgombea binafsi

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Riggy G, Kindiki wapondana kuhusu uchaguzi mdogo

ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua ameongeza makali ya siasa kwa kumshambulia Naibu Rais Kithure Kindiki, akimtaja kama kiongozi asiye na msimamo na anayefuata kila agizo la Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wetang’ula hatarini kusimama kizimbani kwa kupuuza agizo la kumkubali Kibagendi

SPIKA wa Bunge la Kitafa Moses Wetang’ula huenda akabururwa kortini baada ya kundi la wabunge wa upinzani kuanzisha mchakato wa kumfungulia mashtaka kwa kukaidi amri ya korti kuhus...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Siku ya mwisho kampeni Emurua Dikirr Dollarine akipambana na Vincent, almaarufu ‘Pinceent’

WAGOMBEAJI wanaosaka kuungwa na wapigakura 44,447 katika uchaguzi mdogo wa eneobunge la Emurua Dikirr, Kaunti ya Narok, wamesalia na leo pekee kufanya kampeni. Uchaguzi huo mdogo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

NI RASMI: Dollarline wa UDA ashinda kiti cha ubunge cha Emurua Dikirr akimbwaga Vincent wa DCP

MWANIAJI wa UDA David Kipsang Keter ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa eneobunge la Emurua Dikirr baada ya Tume ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kukamilisha zoezi la kuthibitisha na kuhe...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Msajili arudi na rungu jingine Chadema

Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka Chadema kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo ku

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Omtatah na Wamalwa wapigania ubabe katika Bunge la Kaunti ya Busia

SENETA Okiya Omtatah na kiongozi wa chama cha DAP-Kenya, Eugene Wamalwa, wamejikuta katika mgogoro wa kisheria kuhusu udhibiti wa uongozi wa upande wa wachache katika Bunge la Kaun...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Jinsi Gachagua alivyomkaba koo Rais Ruto kwenye uchaguzi mdogo Emurua Dikirr

KIONGOZI wa chama cha Democracy for Citizns Party (DCP), Rigathi Gachagua aliweza kupenya katika ngome ya kisiasa ya aliyekuwa mkubwa wake Rais William Ruto katika uchaguzi mdogo w...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Gachagua Issues Urgent Demands to IG Kanja Over Alleged Ichung’wah Attacks

Gachagua has been alleging plans by Ichung'wah, which he says have even got to the floor of the National Assembly over plans to plant goons to storm his DCP rallies in Kiambu.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto na Gachagua kupimana nguvu tena uchaguzi mdogo

RAIS William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wanatarajiwa kukabana koo tena kisiasa huku uchaguzi mdogo wa eneobunge la Emurua Dikirr mnamo Mei 14 ukikaribia. Kiny...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sitakupigia magoti Mlima Kenya, Ruto aambia Gachagua

RAIS William Ruto amemjibu vikali aliyekuwa Naibu wake na kiongozi wa Democracy for the Citizens Party Rigathi Gachagua, akisema hatompigia magoti ili kupata kura za Mlima Kenya....

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kilio cha mawakala wanavyopigwa

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki apiga kambi Mlimani siasa za Mt Kenya East na West zikichacha

NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki amekita kambi eneo la Mlima Kenya baada kubainika kuwa ndani ya siku 58 pekee amefanya mikutano 15. Kuanzia Machi 1, 2026 hadi Aprili 27, 2026,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

SOKOMOKO: Mbunge Kaluma ajiteua nyapara wa boma isiyo yake

MBUNGE wa Homa Bay Town, Peter Kaluma, alijitwika nyapara wa boma isiyo yake kwa wito wake wa kutaka Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, aondolewe mara moja katika wadhifa wake akasah...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wadau wamshukia Msajili tishio kwa Chadema

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Hofu mgawanyiko wa upinzani utapatia UDA ushindi Ol Kalou

HATUA ya chama cha Jubilee kusimamisha mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou unaotarajiwa Julai imeonekana kutikisa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP),...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ruto, Gachagua, wang’ang’ania Nyoro 2027 ukikaribia

MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amejikuta katikati ya mvutano mkali wa kisiasa Mlima Kenya, ambapo mirengo mikuu ya kisiasa inammezea mate kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Baad...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

IEBC, wabunge watetea kituo cha kujumlisha kura za urais kinachopingwa na wanaharakati

JUHUDI za kufuta kituo cha kitaifa cha kujumlishia kura kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 zimepata upinzani mkali kutoka kwa wabunge na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), hali in...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Seneti yararua ushahidi wa Gachagua mahakamani

SENETI imetilia shaka ushahidi wa matibabu uliowasilishwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika kesi inayoendelea kuhusu kuondolewa kwake mamlakani. Kupitia Karani wa Se...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki, Gachagua na Matiang’i sasa kupimana nguvu uchaguzini Ol Kalou

UCHAGUZI mdogo wa eneobunge la Ol Kalou unaonekana kama kipimo kikuu cha mwelekeo wa kisiasa wa ukanda wa Mlima Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Uchaguzi huo utakaofanyika Ju...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kang'ata Wa Barua

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source