Tahadhari ya Ebola yaongezeka, Tanzania ilivyojipanga
Wakati huohuo, Uganda imethibitisha wagonjwa wawili wa Ebola mjini Kampala jana Mei 17, 2026 mmoja wao akiwa amefariki dunia.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Janga La Covid-19.
Fresh curated links around Janga la Covid-19 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Wakati huohuo, Uganda imethibitisha wagonjwa wawili wa Ebola mjini Kampala jana Mei 17, 2026 mmoja wao akiwa amefariki dunia.
Shirika la Afya Duniani (WHO) tayari limetangaza mlipuko huo wa Ebola unaosababishwa na kirusi cha aina ya Bundibugyo kuwa ni dharura ya afya ya umma ya kimataifa.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya huenda ikachukua kati ya miezi sita hadi tisa kabla ya chanjo dhidi ya aina ya Ebola ya Bundibugyo kuwa tayari kutumika, huku idadi ya vifo n...
MLIPUKO wa Ebola eneo la Afrika ya Kati huenda ukaenea kuwa sawia na kiwango cha mlipuko mbaya zaidi kuwahi kuzuka kihistoria, mlipuko uliotokea Magharibi mwa bara hili mnamo 2014-...
Kwa mujibu wa WHO, hadi Mei 16, jumla ya wagonjwa wanane waliothibitishwa maabara na wagonjwa 246 wanaoshukiwa kuwa na Ebola walikuwa wameripotiwa katika Mkoa wa Ituri, mashariki m...
IDADI ya Wakenya wanaojitokeza kupimwa ugonjwa wa kaswende imeongezeka kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi majuzi, huku wataalamu wa afya wakionya kuwa watoto wengi bado wanazal...
Mamlaka ya Afya ya Umma ya Ufaransa imeeleza kuwa takwimu hizo ni za awali na huenda zikaongezeka baada ya uchambuzi wa kina kukamilika.
SERIKALI ya Kenya inaendelea na mipango ya kuanzisha kituo cha kutenga na kutibu Ebola kwa ushirikiano na serikali ya Amerika, huku ikipuuza amri ya korti katika mfano halisi wa uk...
Hatua hiyo inajiri huku kukiwa na wahisiwa 64 wa ugonjwa wa Ebola nchini kutoka mikoa 21, ambapo kati yao wahisiwa 11 walikidhi vigezo na kulazimika kuchukuliwa sampuli zao kabla y...
Soma zaidi hapa...
HUKU Kenya ikitoa tahadhari kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), maafisa wa afya wameanza kuimarisha maandalizi katika mipak...
Nchi washirika zilizounga mkono msimamo huo ni Kenya, Misri, India na Korea Kusini.
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) imeanzisha karantini ya lazima ya siku 21 kwa watu wanaotoka katika maeneo yaliyoathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, ha...
UFARANSA imerekodi vifo vya ziada 1,000 katika msimu wa joto kali lililogubika Uropa, idara ya afya umma ilisema jana, ikionya kuwa idadi halisi huenda ni ya juu zaidi. Ikieleze...
Serikali ya Tanzania imetoa maagizo na hatua 10 za dharura za kuimarisha ulinzi dhidi ya ugonjwa wa Ebola kufuatia mlipuko ulioripotiwa katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasi...
WADAU wa utalii wanahofia sekta hiyo itaathirika vibaya endapo kituo kinachopendekezwa cha karantini ya wagonjwa wa Ebola kitajengwa nchini. Ujenzi wa kituo hicho unatekelezwa ene...
Soma zaidi...
Dk Janeth amesema endapo yatatokea majanga yoyote ya kiafya timu hiyo ndiyo itakuwa mstari wa mbele kukabiliana na majanga hayo kwa haraka na hivyo kupunguza vifo.
Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza maambukizi na vifo vinavyotokana na malaria barani Afrika, changamoto nane zimeendelea kuwa kikwazo katika juhudi za kutokomeza u...
Wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiendelea kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababisha vifo vya watu 232, matumaini mapya yanaibuka katika ulimwengu wa sayansi...
POLISI jana walirusha vitoa machozi na kuwakamata waandamanaji kadhaa waliokuwa wakipinga ujenzi wa kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola kinachofadhiliwa na Amerika katika Kambi ya...
SERIKALI imekuwa ikitetea ujenzi wa kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola katika Kambi ya Jeshi Laikipia, Nanyuki, kwa wiki kadhaa, lakini sasa imekumbwa na maswali mapya kuhusu vitu...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.