#RejectEbolaFacility: Wakenya wapinga dili ya Amerika na Ruto kuhusu Ebola
UPINZANI dhidi ya mpango kati ya Serikali ya Kenya na Amerika wa kuanzisha kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia umeanza kushika kasi, baada ya viongozi wa...