Gen Z wasalia jinamizi kwa Ruto licha ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi
MIAKA miwili baada ya maandamano makubwa ya vijana wa Gen Z yaliyotikisa nchi na kulazimisha serikali kuondoa Mswada wa Fedha wa 2024, athari zake bado zinaonekana wazi kusumbua se...