Familia ya Albert Ojwang bado yalilia haki mwaka mmoja tangu mauaji
WAZAZI wa mwanamume aliyefia korokoroni sasa wanalilia haki wakilalamikia kutotimizwa kwa ahadi tele walizopewa na viongozi mbalimbali karibu mwaka mmoja tangu mwana wao alipokufa....