Bajeti ya madeni na ukopaji zaidi kuziba pengo la ukosefu wa fedha serikalini
SERIKALI inapanga kukopa zaidi ya Sh1 trilioni kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha ujao ya Sh4.8 trilioni, huku pengo la bajeti likikadiriwa kufikia takriban Sh1.1 trilioni, Wazir...