Latest updates for Afisi Ya Mdhibiti Wa Bajeti (Cob)

Fresh curated links around Afisi ya Mdhibiti wa Bajeti (CoB) are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi
  • Wizara ya Fedha yaja na vipaumbele vinane ikionya kuwepo na vihatarishi
  • Wawakilishi waibana Serikali kwa ongezeko la misamaha ya kodi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 month ago

Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi

Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wizara ya Fedha yaja na vipaumbele vinane ikionya kuwepo na vihatarishi

Wizara ya Fedha imeweka wazi vipaumbele vinane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake pamoja na taasisi zilizo chini yake, huku ikiomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh21.3 trilion...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Wawakilishi waibana Serikali kwa ongezeko la misamaha ya kodi

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza masikitiko yao kuhusu mwenendo wa Serikali wa kuendelea kutoa misamaha mingi ya kodi, wakati ikipanga bajeti kwa kutegemea mapato ya ndan...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ni wiki ya madaraja na malipo kwa makandarasi

Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Mawaziri walivyojibu hoja za wabunge Bajeti Kuu

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Bajeti Kuu ya Zanzibar ya Sh8 trilioni yapita

Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hizi hapa bajeti za Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia ra...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Bajeti ya 2026/27 inavyoanza kung’ata leo

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sekta binafsi, wasafishaji wataja maeneo muhimu bajeti 2026/27

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Pengo kukosekana sheria ya bajeti Zanzibar latajwa

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri kuwapo pengo la kutokuwepo kwa sheria mahususi ya bajeti kwa muda mrefu inayoongoza usimamizi wa mzunguko mzima wa bajeti.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wawakilishi wataka haya yafanyike ukusanyaji mapato, utekelezaji bajeti

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza haja ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutumia mifumo ya kisasa ya teknolojia ili...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Pendekezo la Serikali kukopa BoT lachochea mjadala

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wizara yazindua nyenzo za bajeti inayozingatia usawa wa kijinsia

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik amesema bajeti ndiyo nyenzo kuu inayotumiwa na Serikali kutekeleza sera na mipango ya maendeleo.

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Makubaliano CCM, ACT kuundiwa chombo cha kuratibu utekelezaji

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Bajeti ya madeni na ukopaji zaidi kuziba pengo la ukosefu wa fedha serikalini

SERIKALI inapanga kukopa zaidi ya Sh1 trilioni kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha ujao ya Sh4.8 trilioni, huku pengo la bajeti likikadiriwa kufikia takriban Sh1.1 trilioni, Wazir...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali kuboresha mfumo wa uwajibikaji kwa watumishi wa umma

Amesema maeneo yenye usimamizi wa moja kwa moja wa fedha na rasilimali za umma ndiyo yanapaswa kupewa kipaumbele zaidi katika ufuatiliaji wa maadili na uwajibikaji.

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Sheria ya fedha inavyong'ata

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Cofek yakimbia kortini kuzima vipengee tata kwenye Mswada wa Fedha 2026

SHIRIKISHO la Watumiaji bidhaa nchini (Cofek) limewasilisha kesi katika Mahakama Kuu likitaka kuondolewa kwa baadhi ya vipengele vya Mswada wa Fedha wa 2026, likidai vinaweza kuong...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Yaliyotikisa mjadala wa bajeti Zanzibar

Wakati Baraza la Wawakilishi likihitimisha siku 47 za mjadala wa bajeti na kupitisha makadirio ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Sh8.5 trilioni, si takwimu za fedha ndizo zilizo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

TAHARIRI: Hii Bajeti mpya kamwe haiwezi kumkomboa mwananchi

WAZIRI wa Fedha, John Mbadi, aliwasilisha jana bajeti ya Sh4.82 trilioni ya mwaka wa kifedha wa 2026/27 huku serikali ikijivunia kuweka mikakati ya kuendeleza uchumi, kuboresha hud...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Changamoto ilizopitia Wizara ya Fedha, yataja mikakati kuzikabili

Serikali imesema kuwa, licha ya mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa vipaumbele kwa Wizara ya Fedha katika bajeti ya 2025/26, zipo changamoto zilizojitokeza pia.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wizara ya Habari yabainisha vipaumbele tisa, ikiomba Sh243.3 bilioni

Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha 2026/27 ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji na usambazaji wa habari.

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

SUK bado kugumu, imebaki CCM na Serikali

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Afisi Ya Mdhibiti Wa Bajeti (Cob)

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source