DPP apongeza uamuzi kuhusu Obado, ataka apewe adhabu kali ili iwe funzo
AFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma imeelezea kuridhika na uamuzi uliompata aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na hatia ya kumuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo Sharon...