Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Afisi Ya Bajeti Ya Bunge.
Fresh curated links around Afisi ya Bajeti ya Bunge are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni.
Soma zaidi hapa...
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia ra...
Wakati Baraza la Wawakilishi likihitimisha siku 47 za mjadala wa bajeti na kupitisha makadirio ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Sh8.5 trilioni, si takwimu za fedha ndizo zilizo...
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...
Soma zaidi...
Wizara ya Fedha imeweka wazi vipaumbele vinane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake pamoja na taasisi zilizo chini yake, huku ikiomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh21.3 trilion...
HUKU wabunge wakirejelea vikao vya bunge kesho baada ya mapumziko ya mwezi mmoja, viongozi hao wa kisiasa wameonya kuwa bajeti kubwa ya Sh4.8 trilioni itakuwa mzigo mkubwa kwa raia...
Soma hapa...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza masikitiko yao kuhusu mwenendo wa Serikali wa kuendelea kutoa misamaha mingi ya kodi, wakati ikipanga bajeti kwa kutegemea mapato ya ndan...
SERIKALI inapanga kukopa zaidi ya Sh1 trilioni kufadhili bajeti ya mwaka wa kifedha ujao ya Sh4.8 trilioni, huku pengo la bajeti likikadiriwa kufikia takriban Sh1.1 trilioni, Wazir...
[Daily News] THE National Assembly has approved the 62.33 tri/- national budget for the 2026/27 financial year, with the government pledging to strengthen domestic revenue collecti...
MUUNGANO wa upinzani jana ulizindua kile ulichokiita Bajeti ya Wananchi na kuwataka wabunge kukataa Bajeti ya Serikali ya Sh4.82 trilioni pamoja na Mswada wa Fedha wa 2026, ukisema...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.
Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza haja ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutumia mifumo ya kisasa ya teknolojia ili...
Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linatarajiwa kuendelea na vikao vyake kesho, Alhamisi Juni 18, 2026, katika Makao Makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha, ambapo a...
Bunge la Kitaifa Kenya limefafanua kuwa madai yaliyoenea mitandaoni kwamba Mswada wa Fedha wa mwaka 2026 unapendekeza kutozwa kwa ada ya kila mwaka kwa ardhi ni ya uongo na yanapot...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kupitia bajeti ya Sh108.02 bilioni iliyo...
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha 2026/27 ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji na usambazaji wa habari.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik amesema bajeti ndiyo nyenzo kuu inayotumiwa na Serikali kutekeleza sera na mipango ya maendeleo.
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.