Latest updates for Wapinzani

Fresh curated links around wapinzani are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake
  • Mafuko wanaotishia umoja wa viongozi wa upinzani
  • Vita vyazidi mrengo wa upinzani vinara waking’ang’ania vyama

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake

Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mafuko wanaotishia umoja wa viongozi wa upinzani

SIASA za vibaraka wanaodaiwa kupenyezwa na serikali zimezua hofu na kutoaminiana katika upinzani na kutishia umoja wao kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Viongozi wa upinzani sasa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Vita vyazidi mrengo wa upinzani vinara waking’ang’ania vyama

UCHAGUZI Mkuu wa mwaka 2027 unapokaribia, ushindani wa kumng’oa Rais William Ruto unaonekana kugeuka kuwa vita vya ndani ya upinzani huku vinara wakuu wakisaka vyama vya kisiasa na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Changamoto mpya mirengo mitatu ikizuka katika upinzani

UPINZANI nchini unaonekana kukabiliwa na changamoto mpya huku viongozi wakipanga mikakati tofauti ya kumwondoa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi mkuu wa 2027.  Mikakat...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mpinzani wa Hichilema ashikiliwa kwa tuhuma za uhaini

Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile na mgombea mwenza wake, Makebi Zulu wamewekwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma zinazohusishwa na uhaini, hatua inayoongeza m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto azindua kauli mbiu mpya, aponda upinzani

RAIS William Ruto amegeuza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift kuwa jukwaa la kushambulia wapinzani wake kisiasa huku akiwataka kueleza mipango yao ya maendeleo kabla y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Vinara wa Upinzani wakosa kutoa majibu kuhusu atakayebeba bendera 2027

KIKAO cha vinara wa upinzani kilichotarajiwa kutoa mwelekeo mpya wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027 kilimalizika Kiambu Jumatatu bila kutatua baadhi ya masuala muhimu yanayotishi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Wanasiasa wa upinzani na serikali washindana hafla ya Raila 

HAFLA ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga iligeuka uwanja wa ushindani wa kisiasa kati ya viongozi wa upinzani na wale wanaounga mkono...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Vita vya ubabe kati ya vijana na wazee vyatikisa upinzani

MBIO za kumtafuta mgombeaji atakayepeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027 zinageuka vita vya kizazi, huku vijana wakitaka kuchukua nafasi...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Heche asema matumaini yapo na tutashinda nchi hii

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Serikali Zambia yazuia upinzani kuwasilisha kesi kupinga matokeo; yafunga mahakama kuu

LUSAKA, Zambia: SERIKALI ya Zambia ilifunga mahakama kuu za nchi hiyo Jumatatu, ili kuwazuia watu kuingia katika majengo hayo siku ya mwisho ambayo upinzani ungeweza kuwasilisha k...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Gachagua asitasita kuhusu mgombeaji wa upinzani

CHAMA cha Democracy for Citizens Party (DCP) kinakabiliwa na jaribio la kwanza la umoja wake huku baadhi ya wanaowania tiketi katika uchaguzi wa 2027 wakilaumu kiongozi wake Rigath...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wanaopinga kuongezewa muhula kwa Rais Tshisekedi wa DRC wanyakwa

KINSHASA, DR Congo: POLISI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumanne waliwatia nguvuni waandamanaji katika miji kadhaa waliokuwa wakipinga mabadiliko yanayopendekezwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Vizingiti vinavyokabili azma ya useneta ya Winnie Odinga

TANGAZO la Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga kuwa atawania useneta wa Nairobi unatarajiwa kuvuruga muungano wa Linda Mwananchi na upinzani siasa z...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hichilema aapishwa muhula wa pili, mpinzani wake akiwa gerezani

Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema ameapishwa leo Jumanne Septemba Mosi, 2026 kuanza muhula wake wa pili madarakani, huku mpinzani wake mkuu akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Chadema yaweka msimamo Tume ya Jaji Lila

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Serikali yakataa wito wa Upinzani kuita ICC kwa suala la mashambulizi ya wahuni

SERIKALI imekataa wito wa upinzani na mashirika ya kiraia kwa Mahakama ya Kimataifa kuhusu Uhalifu (ICC) kuchunguza kuongezeka kwa ghasia za kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu w...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali, wadau wajipanga kushirikiana fursa mkutano IPU

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wagombea urais IPU wataja vipaumbele vyao wakichaguliwa

Wagombea watatu wanaowania urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wameweka mezani ajenda tofauti katika kampeni zao, wakitafuta uungwaji mkono wa wajumbe wa mkutano wa 153 wa taas...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wawakilishi waikalia kooni Serikali muswada wa sheria ya habari

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua afichua sababu kutotaja mwaniaji urais wa upinzani mapema

KINARA wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amesema upinzani umeamua kuchelewesha kuunda afisi ya pamoja kwa sababu ya hofu ya kuingiliwa na serik...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Linda Mwananchi isitanue misuli ya maslahi, ijali wapendavyo raia

MKUTANO wa Linda Mwananchi ulioandaliwa katika uwanja wa Jacaranda, Nairobi ni kati ya mikutano mikubwa ambayo imetia wasiwasi serikali ya Rais William Ruto na Muungano wa upinzani...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto afufua mjadala vita ya Afrika kutetea utajiri wake

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Viongozi wa ODM wampa Aladwa ‘kibali’ kupambana na Sakaja 2027

MBUNGE wa Makadara, George Aladwa, amepata uungwaji mkono mkubwa katika azma yake ya kuwania ugavana wa Nairobi baada ya wajumbe na wenyekiti wa matawi ya ODM kumuunga mkono katika...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Wapinzani

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source