Jeshi la Uganda latoa Sh52 milioni kuimarisha usalama kituo cha SOS Zanzibar
Soma zaidi hapa...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Vikosi Vya Dharura Na Usalama.
Fresh curated links around vikosi vya dharura na usalama are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi hapa...
Wananchi wa Jimbo la Magomeni wamepokea vifaa vya ulinzi vyenye thamani ya Sh28.5 milioni kwa lengo la kuimarisha amani na usalama katika jimbo hilo.
Wananchi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wameitaka Jeshi la Polisi kutumia kampeni ya ‘Ongea na Kamand’a kusikiliza na kutatua kero za kiusalama, kushughulikia malalamiko yao na...
WIZARA ya Fedha ilitengea mashirika ya usalama jumla ya Sh44.6 bilioni mwezi Julai, hatua inayodhihirisha ufadhili mkubwa wa sekta hiyo katika mwaka wa mwisho wa serikali kabla ya...
Soma hapa...
Soma hapa...
Soma zaidi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linatoa wito kwa madereva kufuata sheria na alama za usalama barabani ili kuzuia ajali zinazoweza kuzuilika.
Serikali inatarajia kujenga nyumba salama 10 kwa ajili ya manusura wa ukatili pamoja na vituo 184 vya kulelea watoto mchana katika halmashauri 40 nchini, ikiwa ni sehemu ya hatua z...
Soma hapa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaodaiwa kuhusika na wizi wa betri 40 za mashine ya CT Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, likisema hal...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Sagini amesema ili kukabiliana, kuzuia na kudhibiti uhalifu unaovuka mipaka, vyombo vya ulinzi na usalama katika nchi za Tanzania na Malawi lazima ku...
Wananchi wa Kata ya Masela, wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wanalazimika kusafiri zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za polisi, hali inayowaongezea gharama za usafiri na kuwapa cha...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewakamata watu 242 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa maadili, kukutwa na nyara za Serikali na usafirishaji wa...
Soma hapa...
Soma hapa...
SHIRIKA la Huduma za Misitu nchini (KFS) jana lilithibitisha kuwa watu wote wanne waliokuwa ndani ya helikopta yake iliyoanguka katika uwanja wa Gofu wa Kericho wako salama, huku u...
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni ameshambuliwa kwa ngumi na mateke na dereva mmoja wakati akimzuia kutumia barabara ya huduma (Service Road) katika eneo la Lugalo,...
WAZAZI wanakabiliwa na changamoto ya kuhakikisha watoto wao watakuwa salama wakiwa na shughuli za kuwaendeleza kiakili wakati wa likizo ndefu ya takriban siku 70, bila kutumia pesa...
Soma zaidi hapa...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), kwa kushirikiana na mamlaka nyingine, limeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kuweka mazingira endelevu ya kudhibiti ajali za majin...
Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu saba wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa uhalifu unaohusisha mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa pikipiki.
Badala ya kusubiri wananchi wafike vituoni kuwasilisha changamoto zinazowakabili, Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza kuwafuata katika maeneo yao kupitia kampeni ya ‘Ongea na K...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.