Washiriki 1,500 kushiriki jukwaa la kimataifa la teknolojia, AI kutoka Afrika
Wakati Jukwaa la Kimataifa la Teknolojia na Akili Unde (Tech an AI Internation Expo), likitarajiwa kufanyika Zanzibar, Serikali imesema inadhamiria kukifanya kisiwa hicho kuwa kito...