Kituo Dar chapokea manusura 100 ukatili wa kijinsia ndani ya siku 90
Zaidi ya manusura 100 wa vitendo vya ukatili wa kijinsia wamepokewa na kuhudumiwa katika Kituo cha Mkono kwa Mkono (One Stop Center) kilichopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyama...