Nchi kukumbwa na janga la ukosefu wa chakula
KENYA inakabiliwa na hatari ya upungufu mkubwa wa chakula huku wakulima katika maeneo yanayolisha taifa wakisita kupanda tena zao hilo baada ya ukame kuangamiza mazao ya awali....
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Uhaba Wa Chakula Nchini.
Fresh curated links around uhaba wa chakula nchini are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
KENYA inakabiliwa na hatari ya upungufu mkubwa wa chakula huku wakulima katika maeneo yanayolisha taifa wakisita kupanda tena zao hilo baada ya ukame kuangamiza mazao ya awali....
Katika kukabiliana na upungufu wa chakula na kuagiza bidhaa hizo kutoka nje ya Zanzibar, hekta 2,148.7 za miundombinu ya umwagiliaji na skimu kongwe za hekta 800 zimekarabatiwa.
WAKENYA wanakabiliwa na uhaba wa maziwa katika maeneo mbalimbali nchini huku uzalishaji ukipungua na bei kupanda. Takwimu rasmi ya Shirika la Takwimu la Kenya (KNBS) inaonyesha ku...
WATUMIAJI wa maziwa jijini Nairobi na miji mingine huenda wakakumbwa na uhaba mkubwa zaidi wa bidhaa hiyo iwapo ukame unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini utaendelea, Waziri...
Utapiamlo miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano bado ni miongoni mwa changamoto kubwa za afya ya umma katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, huku wataalamu wakisem...
WASIWASI kuhusu usalama wa maziwa umeongezeka huku upungufu wa bidhaa hiyo ukiendelea kushuhudiwa nchini, na kusababisha ongezeko la bei pamoja na kuibuka kwa wauzaji wasio rasmi....
Soma hapa...
BEI ya maziwa imepanda katika baadhi ya maeneo ya Nyanza na Kusini mwa Bonde Ufa, hali inayoathiri familia na wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali hasa vyakula. Katika Kaunti ya H...
[allAfrica] Walk through Nairobi's Kangemi Market, Mile 12 Market in Lagos or Makola Market in Accra, and you will see stalls filled with fresh produce. Yet behind this abundance l...
Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Ussi Yahya ametaja mkwamo wa michango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwamba umesababisha wabunge wake kutolipwa stahiki zao kwa miezi sita sasa.
Wakulima 2,875 katika mabonde ya Cheju na Mlemele wamepatiwa mashamba (konde) kwa ajili ya uendelezaji wa kilimo cha mpunga cha umwagiliaji na kuongeza uzalishaji kutoka tani tatu...
[Daily News] Dodoma -- TANZANIA'S food production exceeded 23 million tonnes in the past financial year, as the country also expanded access to key export markets, the Tanzania Pla...
[Capital FM] Nairobi -- The number of people facing high levels of acute food insecurity across six East African countries has nearly tripled over the past decade to 40.3 million,...
Baridi kali inayohusishwa na mabadiliko ya tabianchi imetajwa kuathiri ukuaji katika uzalishaji wa mbogamboga, hali inayo changia kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo na kuwaweka walaji...
Millers say they have not received the required C60 import permits, raising concerns that prolonged bottlenecks could tighten wheat stocks.
Soma zaidi hapa...
Kenya is currently facing a shortage of key agricultural produce, including maize and milk, with the government racing against demand to ensure supply.
Soma hapa...
Mwakilishi wa Tumbe, Mmanga Mohammed Hamed, amehoji sababu za kupanda holela kwa bei za bidhaa na kusababisha ukali wa maisha kwa wananchi, huku Serikali ikieleza hatua inazochukua...
SERIKALI imepunguza zaidi bei ya mbolea na mbegu za mahindi katika juhudi za kuwasaidia wakulima wa Bonde la Ufa waliopata hasara kutokana na ukame. Bei ya mfuko wa kilo 50 wa mbo...
Uzalishaji wa nazi Mkoa wa Tanga umeshuka kwa kiwango kikubwa kutoka zaidi ya tani 100,000 kwa mwaka katika miaka ya 1980 na 1990 hadi takriban tani 15,000 sasa, hali inayohusishwa...
BAADHI ya maudhui katika mitandao ya kijamii hasa watoto wanapokaribia kufunga shule kwa likizo, huwa ni watu wakiulizana kuhusu bajeti zao za chakula. Mbali na kiwango cha chakul...
HUKU kiangazi na ukame ukiendelea kuathiri wakulima hasa maeneo kame na nusu-kame (ASAL), teknolojia ya uongezaji malisho thamani kurefusha muda imegeuka kuwa tegemeo kwa wafugaji....
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.