Latest updates for Shule Ya Wasichana Ya Moi La...
Fresh curated links around shule ya wasichana ya Moi La... are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Sababu ongezeko la wanafunzi shule la binafsi
- Historia ya kusikitisha ya mioto shuleni na ripoti chungu nzima zisizotekelezwa
- Moi Forces Academy Lanet Sends Students Home Over School Fire Safety Fears
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Historia ya kusikitisha ya mioto shuleni na ripoti chungu nzima zisizotekelezwa
VIFO vya wanafunzi 16 kufuatia moto ulioteketeza bweni la shule ya wasichana ya Utumishi Girls Academy jana alfajiri, vimeibua upya wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya usalama shuleni n...
Moi Forces Academy Lanet Sends Students Home Over School Fire Safety Fears
Moi Forces Academy Lanet announced the temporary closure of classes for Grade 10 and Form 3 learners after recent fire incidents reported in schools across the country. In a messag...
Shule zaendelea kufungwa wimbi la fujo likitanda
Wimbi la migomo, visa vya moto na vurugu za wanafunzi linaendelea kuzua hofu kubwa katika sekta ya elimu baada ya shule kadhaa za upili kufungwa jana katika maeneo mbalimbali nchin...
Mgomo: Masharti makali wanafunzi wakirejea shuleni
BAADA ya wimbi la migomo, wanafunzi wanatarajiwa kuerejea shuleni huku wazazi wakikabiliwa na hali ngumu ya kulipia mali ambayo iliharibiwa. Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Mangú...
Wasichana 6 wakamatwa kuhusiana na moto uliosababisha maafa Utumishi Girls
AFISA mmoja anayehusika na uchunguzi wa moto uliotokea katika shule ya wasichana ya Utumishi mjini Gilgil, amesema wasichana sita wanahojiwa kuhusiana na mkasa huo. Kwa mujibu wa...
Majonzi tele kwenye ibada ya kuwaaga wanafunzi 15 waliokufa kwenye mkasa wa moto Utumishi Girls
MACHOZI, majonzi na hali ya kukata tamaa vilitawala ibada ya kuwaaga wanafunzi 15 waliopoteza maisha yao kufuatia moto ulioteketeza bweni la Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academ...
Maofisa elimu, wakuu wa shule kikwazo utekelezaji elimu jumuishi -2
Soma zaidi hapa...
MPAKA LINI? Huzuni, maswali tele wanafunzi wakifa tena kwenye mkasa wa moto shuleni
MASWALI yanaendelea kuzuka kuhusu chanzo cha moto ulioteketeza bweni la Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Utumishi iliyoko Kaunti ya Nakuru huku visa kama hivyo vikiendelea kutoke...
Wasichana 9 wa Utumishi Girls wanaoshukiwa kuchoma bweni watupwa rumande
MAHAKAMA ya Naivasha imeamuru wanafunzi tisa wa Shule ya Wasichana ya Utumishi Senior School wanaoshukiwa kuhusika na uchomaji wa bweni uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 wazuiliw...
TAHARIRI: Nani aliyelala kazini shuleni Utumishi Girls?
TAIFA la Kenya kwa mara nyingine linaomboleza baada ya mkasa wa kutisha wa moto katika Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academy, Gilgil, Nakuru kuua wanafunzi 16 huku wengine wapat...
Jinsi mwalimu mkuu alivyoripoti moto katika bweni Utumishi Academy Gilgil
Maelezo yameibuka kuhusu jinsi moto mbaya ulioteketeza bweni katika shule ya Utumishi Girls Senior Secondary School huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, ulivyoripotiwa kwa mara ya kwanza...
Kenya: Ministry Closes Kiambu Boys' School After Principal's Arrest Over Sexual Abuse
[Capital FM] Nairobi -- The Ministry of Education has indefinitely closed P.C.E.A. Mai-a-Ihii Booth Boys High School in Kikuyu, Kiambu County, after police arrested the school's pr...
Kero za mazingira zinavyofifisha masomo Shule ya Darajani
Soma hapa...
Wimbi la vurugu lagubika shule likiacha uharibifu, majeraha na vifo
WIMBI la vurugu limekumba shule kadhaa nchini na kuacha nyuma uharibifu wa mali, kufungwa kwa baadhi ya taasisi, majeruhi na vifo katika visa vya kusikitisha vinavyozidi kuzua hofu...
Miili ya wanafunzi waliokufa kwenye mkasa wa moto Utumishi Girls yaondolewa
Education Ministry Gives New Directives After Utumishi Girls Fire
Ogamba, who spoke when he visited the institution, revealed that the school has a total population of 815 girls, with 808 learners present in school at the time of the incident.
Wadau, Serikali waanika njia za kuikwamua elimu jumuishi - 3
Soma zaidi hapa...
Bweni la wavulana sekondari ya Kalangalala lanusurika kuteketea
Moto huo ulibainika baada ya wanafunzi kuona moshi ukitoka katika bweni hilo linalokaliwa na wanafunzi 96.
Tusirushiane lawama kuhusu vurugu shuleni bali tutafute suluhu pamoja
KUMEKUWA na maoni tofauti kuhusu chanzo cha ongezeko la vurugu katika shule za upili nchini. Wapo wanaowalaumu walimu kwa kulegeza nidhamu, wengine wakinyooshea kidole wazazi kwa...
Wavulana 10 wa Alliance wanaoshukiwa kuchoma stoo ‘waliwasiliana na watu wa nje’
WANAFUNZI 10 wa Shule ya Upili ya Alliance, Kikuyu, wamekamatwa kuhusiana na moto ulioteketeza stoo ya kuhifadhi godoro Jumatano usiku, huku uchunguzi wa awali ukionyesha kuwa huen...
Msongamano, njaa kati ya hali zinazochochea vurugu shuleni – Ripoti
HUKU shule mbalimbali nchini Kenya zikikumbwa na wimbi la vurugu za wanafunzi ambazo zimesababisha kufungwa kwa muda kwa taasisi kadhaa, picha inayojitokeza inaonyesha malalamiko y...
Vurugu shuleni: Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa kukutana kuhusu fujo shuleni
VIONGOZI wakuu wa usalama nchini wanatarajiwa kukutana Jumatatu chini ya mwavuli wa Baraza la Ushauri wa Usalama wa Kitaifa (NSAC) kujadili wimbi la vurugu katika shule mbalimbali...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.