mwananchi.co.tz
/1 month ago
Abiria wanusurika daladala ikiteketea kwa moto
Abiria wamenusurika baada ya daladala walilokuwa wamepanda kuteketea kwa moto kufuatia hitilafu ya umeme iliyosababisha taharuki katika maeneo ya Jamhuri Garden.