Bei ya mafuta yazidi kung’ata, usafiri wa umma wapungua
Soma zaidi...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Sakata Ya Mafuta.
Fresh curated links around sakata ya mafuta are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 zitakazoanza kutumika kuanzia leo Alhamisi Mei 7, 2026.
Wabunge wametoa ya moyoni kuhusu suala la mafuta wakitaja mambo saba ambayo yanaweza kupunguza makali hayo ili kutoa nafuu ya maisha kwa wananchi.
Mafuta ya rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam, watalazimika kuongeza Sh956 kwa kila lita moja ya petroli baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka sh2,864.
USHURU wa mafuta na faida za kampuni za uuzaji mafuta sasa zinatarajiwa kuangaziwa kwa makini huku serikali ikipambana na muda kupunguza bei ya mafuta ndani ya siku saba zijazo ili...
Katika toleo la Aprili, Petroli ilipanda kwa zaidi ya Sh900 kwa lita.
Kupanda kwa bei ya mafuta hususani petroli, makali yameanza kung'ata jijini Mbeya baada ya usafiri wa daladala kuweka 'mgomo' kutoa huduma huku wananchi wakilia na nauli za bajaji...
MAENEO kadhaa nchini yanakabiliwa na uhaba wa mafuta huku ikihofiwa kwamba wafanyabiashara wanahodhi bidhaa hiyo. Kero hiyo inayohusishwa na utatizwaji wa soko la dunia huku tahar...
MGOMO wa wahudumu wa matatu ambao umesitishwa kwa muda wa siku saba ukiendelea, baadhi ya wachuuzi wa bidhaa za kula katika Kaunti ya Nairobi walitumia jukwaa hilo kuvuna hela. Mm...
KASHFA za mafuta nchini Kenya si geni; zinaanika jinsi sekta hii muhimu imetekwa na mitandao ya maslahi ya kibiashara, ushawishi na mianya katika udhibiti inayotumiwa na wenye nguv...
SERIKALI imetangaza kupunguza viwango vya ubora wa mafuta yanayouzwa nchini, kwa kuruhusu madini hatari ya Sulphur kuongezwa kwa kipindi cha miezi sita. Katika taarifa iliyotole...
LITA moja ya petroli inauzwa Sh450 katika miji ya Ilbisil na Mali Tisa, Kaunti ya Kajiado, kufuatia madai kwamba baadhi ya wamiliki wa vituo vya mafuta wanahodhi bidhaa hiyo, hali...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei mpya za mafuta, ambapo lita moja ya petroli na dizeli imeongezeka kwa wastani wa Sh500. Wakati bei...
Kupanda kwa nauli za mabasi ya abiria mijini na bodaboda, kumefungua milango ya neema kwa wadau wa usafirishaji kupitia baiskeli hasa katika mikoa ambayo usafiri huo unatumika kube...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.
KUNA Kuna uwezekano wa bei ya dizeli kupanda zaidi hadi Sh300 kwa lita katika miezi michache ijayo kufuatia tahadhari kuhusu kupanda kwa gharama ya usafirishaji wa mafuta pamoja na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kushangazwa na kile kilichokiita kutochukuliwa kwa hatua za haraka na mamlaka husika katika kudhibiti kupanda kwa bei ya mafut...
Super Petrol prices increased in the May-June cycle to retail at Ksh214.25 per litre in Nairobi, but EPRA lowered diesel marginally.
WAKENYA waliamkia wimbi jipya la masaibu kiuchumi hapo jana huku wakianza kuhisi athari za bei za mafuta kuongezwa, hali iliyosababisha nauli, bei ya vyakula, na gharama ya huduma...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kutokuwa na hofu kuhusu suala la mafuta akisema Tanzania ipo macho na itahakikisha hakutokei madhara ya kukosekana kwa mafuta.
JE, uhaba wa mafuta na bidhaa zake ukijiri leo kutokana na vita vinavyoendelea nchini Iran, hali iwe kwamba hakuna taifa lolote la Afrika Mashariki linalojitosheleza, tutakimbilia...
Djumbe ambaye Mei 21, 2026 aliripoti Kituo cha Polisi Osterbay ili kuondolewa pingu alizofungwa na watekaji, ameeleza namna alivyowatoroka watekaji.
Chama cha Wamiliki wa Malori nchini, (TAK), kimeagiza wanachama wake kuongeza gharama za usafirishaji kwa asilimia 30, kikitaja kupanda kwa bei ya mafuta kufuatia ongezeko la...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.