Latest updates for Mkasa Wa Moto Utumishi

Fresh curated links around mkasa wa moto utumishi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • MPAKA LINI? Huzuni, maswali tele wanafunzi wakifa tena kwenye mkasa wa moto shuleni
  • Mkasa wa moto waua wanafunzi 16 Utumishi Girls Gilgil, Waziri Ogamba athibitisha
  • Historia ya kusikitisha ya mioto shuleni na ripoti chungu nzima zisizotekelezwa

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MPAKA LINI? Huzuni, maswali tele wanafunzi wakifa tena kwenye mkasa wa moto shuleni

MASWALI yanaendelea kuzuka kuhusu chanzo cha moto ulioteketeza bweni la Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Utumishi iliyoko Kaunti ya Nakuru huku visa kama hivyo vikiendelea kutoke...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mkasa wa moto waua wanafunzi 16 Utumishi Girls Gilgil, Waziri Ogamba athibitisha

WANAFUNZI 16 wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa moto uliotokea katika shule ya Utumishi Girls iliyoko Gilgil, Kaunti ya Nakuru. Ripoti ya polisi inasema kwamba moto huo ul...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Historia ya kusikitisha ya mioto shuleni na ripoti chungu nzima zisizotekelezwa

VIFO vya wanafunzi 16 kufuatia moto ulioteketeza bweni la shule ya wasichana ya Utumishi Girls Academy jana alfajiri, vimeibua upya wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya usalama shuleni n...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

TAHARIRI: Nani aliyelala kazini shuleni Utumishi Girls?

TAIFA la Kenya kwa mara nyingine linaomboleza baada ya mkasa wa kutisha wa moto katika Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academy, Gilgil, Nakuru kuua wanafunzi 16 huku wengine wapat...

Read source
mwananchi.co.tz /2 days ago

Bweni la wavulana sekondari ya Kalangalala lanusurika kuteketea

Moto huo ulibainika baada ya wanafunzi kuona moshi ukitoka katika bweni hilo linalokaliwa na wanafunzi 96.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Miili ya wanafunzi waliokufa kwenye mkasa wa moto Utumishi Girls yaondolewa

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi mwalimu mkuu alivyoripoti moto katika bweni Utumishi Academy Gilgil

Maelezo yameibuka kuhusu jinsi moto mbaya ulioteketeza bweni katika shule ya Utumishi Girls Senior Secondary School huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, ulivyoripotiwa kwa mara ya kwanza...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Moto ulioteketeza maduka ya vipodozi wazimwa

Akizungumza katika eneo la tukio, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema hadi kufikia saa sita usiku hakukuwa na taarifa ya madhara ya vifo wala majeruhi.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wasichana 6 wakamatwa kuhusiana na moto uliosababisha maafa Utumishi Girls

AFISA mmoja anayehusika na uchunguzi wa moto uliotokea katika shule ya wasichana ya Utumishi mjini Gilgil, amesema wasichana sita wanahojiwa kuhusiana na mkasa huo. Kwa mujibu wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Serikali yaahidi kuwasaidia waliopoteza mali Gikomba

SERIKALI imewahakikishia wafanyabiashara waliopoteza mali katika kisa cha moto kwenye Soko la Gikomba jijini Nairobi kwamba watapata msaada huku vyombo vya usalama vikianzisha uchu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MKASA: Imebainika kuwa walimu walifahamu mpango wa kuchoma shule ya Utumishi

SERIKALI Ijumaa Mei 29, 2026 ilisema walimu wawili wa Shule ya Sekondari ya Utumishi Girls Senior School walikuwa na taarifa za mapema kuhusu uwezekano wa fujo lakini hawakuchukua...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Moto ulivyoteketeza kituo cha mafuta Geita

Kwa mujibu wa mashuhuda, moto huo ulizuka majira ya saa 5:20 asubuhi leo Ijumaa, Julai 10, 2026, wakati gari la mteja lilipokuwa likijazwa mafuta.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MKASA: Huzuni tele wazazi wakitambua miili ya wanafunzi waliofariki

HUZUNI na majonzi zilitanda katika mochari ya Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Naivasha jana huku familia, jamaa na marafiki wa wasichana 16 waliofariki katika mkasa wa moto katika Shu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

UPELELEZI: Moto ulioua 16 uliwashwa makusudi

MOTO uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Senior School, Gilgil na wengine 79 kujeruhiwa, ulipangwa na kutekelezwa kimakusudi, uchunguzi wa awali wa I...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Boti yateketea moto Ziwa Victoria, wawili wafariki dunia

Boti iliyokuwa imebeba abiria na mizigo imeteketea moto na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine 50 kuokolewa katika Ziwa Victoria ikitokea Kisiwa cha Gozba mkoani Kagera kue...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Majonzi tele kwenye ibada ya kuwaaga wanafunzi 15 waliokufa kwenye mkasa wa moto Utumishi Girls

MACHOZI, majonzi na hali ya kukata tamaa vilitawala ibada ya kuwaaga wanafunzi 15 waliopoteza maisha yao kufuatia moto ulioteketeza bweni la Shule ya Upili ya Utumishi Girls Academ...

Read source
thecitizen.co.tz /1 week ago

Fire razes cosmetics shops in Mwanza as authorities suspect electrical fault, probe launched

Nyamagana Member of Parliament John Nzilanyingi said the incident highlighted the urgent need for continued investment in modern firefighting equipment, noting that the situation c...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wasichana 9 wa Utumishi Girls wanaoshukiwa kuchoma bweni watupwa rumande

MAHAKAMA ya Naivasha imeamuru wanafunzi tisa wa Shule ya Wasichana ya Utumishi Senior School wanaoshukiwa kuhusika na uchomaji wa bweni uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 wazuiliw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hatari ya kupanda malori ya mizigo

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mkasa wa moto: Methu afoka, ataka Ogamba na Murkomen wajiuzulu

SENETA wa Nyandarua, John Methu alimchemkia Waziri wa Elimu Julius Ogamba na Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen akitaka wajiuzulu kufuatia mkasa wa moto katika Shule ya...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Vurugu zatokea msibani mabomu yapigwa, jeneza juu ya gari la DC

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki

Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser kugongana uso kwa uso na pikipiki iliyokuwa imebeba abiria, kisha kuwagonga watembea kwa miguu wawili waliokuwa pembe...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mama afariki dunia kwa ajali akiwahi shuleni lilikoungua bweni la wanafunzi        

Ni huzuni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa mwanafunzi mmoja ambaye ni miongoni mwa waathirika wa ajali ya moto katika shule ya Utumishi Academy nchini Kenya kufariki duni...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wavulana 10 wa Alliance wanaoshukiwa kuchoma stoo ‘waliwasiliana na watu wa nje’

WANAFUNZI 10 wa Shule ya Upili ya Alliance, Kikuyu, wamekamatwa kuhusiana na moto ulioteketeza stoo ya kuhifadhi godoro Jumatano usiku, huku uchunguzi wa awali ukionyesha kuwa huen...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Mkasa Wa Moto Utumishi

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source

thecitizen.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source