Dosari zamnusuru kaka na kitanzi kwa kumuua dada yake
Soma hapa...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Mauaji.
Fresh curated links around mauaji are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma hapa...
Soma zaidi...
Soma zaidi hapa...
Ni nadra kwa ndugu kukodi wauaji ili wamuue ndugu yake wa damu, lakini tukio hilo limetokea wilayani Iramba, mkoani Singida, baada ya kaka kukodi watu wawili kwa Sh3 milioni ili wa...
Soma hapa...
Soma hapa...
Miili ya Humphrey Msoka (66) na mpwa wake, Dickson Msoka (24), imezikwa huku viongozi wa dini wakikemea mauaji na vitendo vya wananchi kujichukulia sheria mkononi.
Soma zaidi...
MSHUKIWA wa mauaji ya Shakahola, Paul Mackenzie, na washtakiwa wenzake wanatarajiwa kujua hatima yao mwezi huu katika kesi inayohusu vifo vya watoto 191. Uamuzi huo unatarajiwa...
Soma zaidi...
Soma hapa...
HUZUNI imetanda Kiambaa, katika kijiji cha Moto, Molo, Kaunti ya Nakuru, baada ya mwanafunzi wa Kidato cha Nne kupatikana ameuawa kikatili nyumbani kwao. Joy Wangui, 18, mwanafu...
Soma hapa...
Soma zaidi hapa...
Polisi Mkoa wa Mara inamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) ambaye jukumu lake lilikuwa kutoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa vitendo ukatili wa kijinsia ambaye anatuhumiwa...
Soma zaidi...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (DC), Neema Lugangira, amekemea mauaji ya Rebeca Naffi (22), akilitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini wote waliohusika na kuhakikis...
Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu saba wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa uhalifu unaohusisha mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa pikipiki.
Kabera, mwenye umri wa miaka 50, alikutwa amefariki dunia mjini Kampala mwishoni mwa wiki, huku polisi wakisema hadi jana Jumapili kichwa chake kilikuwa bado hakijapatikana.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limewakamata watuhumiwa zaidi ya 20 kwa tuhuma mbalimbali kufuatia msako na doria zilizofanyika kisiwani humo.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa miaka 15, Raiyan Hemed Amour ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kichaka eneo la Wet...
Watuhumiwa wawili kati ya watano wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara wa huduma za kifedha, Vaileth Libaba (34), wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati w...
Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa nchini (ALAT), imelaani mauaji ya Diwani wa Kata ya Misechele, Zuberi Binamu na watu wengine wawili wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, huku Jesh...
Soma zaidi hapa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.