Latest updates for Kundi La Waasi Ndani Ya Odm La ‘Linda Mwananchi’

Fresh curated links around kundi la waasi ndani ya ODM la ‘Linda Mwananchi’ are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Linda Mwananchi sasa waelekea Mlimani wakijijenga kuwa vuguvugu la kitaifa
  • Ushawishi wa Linda Mwananchi wazua wasiwasi ndani ya Upinzani
  • Mpasuko watokota Linda Mwananchi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Linda Mwananchi sasa waelekea Mlimani wakijijenga kuwa vuguvugu la kitaifa

KUNDI la Linda Mwananchi ndani ya chama cha ODM sasa linaelekeza juhudi zake katika maeneo ambayo kwa muda mrefu hayajawahi kuwa ngome za chama hicho huku likijaribu kujijenga kama...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ushawishi wa Linda Mwananchi wazua wasiwasi ndani ya Upinzani

KUIMARIKA kwa ushawishi wa kundi la Linda Mwananchi pamoja na kauli zinazotofautiana kutoka kwa baadhi ya viongozi wake kunazidi kuibua maswali kuhusu mwelekeo wa upinzani huku uch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpasuko watokota Linda Mwananchi

Miezi michache baada ya kujitokeza kama moja ya sauti kali zaidi za upinzani dhidi ya Rais William Ruto, vuguvugu la Linda Mwananchi sasa linakabiliwa na changamoto ambayo inaweza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ubabe: Linda Mwananchi yawika Linda Ground ikififia

VUGUVUGU la Linda Mwananchi limeanza kuwika tena huku Linda Ground ikionekana kufifia, taswira inayodhihirisha mabadiliko mapya ya kisiasa yanayozidi kuchipuka kuelekea uchaguzi mk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oburu aelekeza Nyanza kwa Ruto, Linda Mwananchi ikimsifu Kalonzo

VIONGOZI wa ODM jana walitangaza kuwa wataongoza eneo la Luo Nyanza kumuunga mkono Rais William Ruto kuwahi muhula wa pili huku wakisisitiza kuwa eneo hilo lazima liwe sehemu ya se...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Linda Mwananchi kuvamia ngome ya Matiang’i wiki ijayo

VUGUVUGU la Linda Mwananchi linatarajiwa kuingia katika maeneo ya Kisii na Nyamira wiki ijayo, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi wa siasa kama jaribio la kupima ushawishi wa Dkt F...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

2027: Siasa za ubabe zatikisa mrengo wa Linda Mwananchi na ule wa upinzani

HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna: Mimi si mradi wa kigogo yeyote, tunachangisha pesa za mikutano kupitia Mpesa

KATIBU Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, amekanusha madai kwamba anafadhiliwa kisiasa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ili kudhoofisha utawala wa Rais William Ruto huku uchaguzi mkuu wa mwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

MAONI: Dalili ziko wazi Muungano wa Upinzani hauna mshikamano

MUUNGANO wa upinzani umeangukiwa na mizimwi ya dhiki chungu nzima za kisiasa. Muungano huo umeendelea kubanwa katika kuandaa mikutano huru kwa kushambuliwa na wahuni mara kwa mara...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mpasuko kambi ya Oburu huku Junet, Millie, Ruth na Otiende wakikosa mkutano

MKUTANO wa ODM ambao uliandaliwa Kisumu Jumapili umeanika nyufa ndani ya mrengo wa chama hicho unaoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga na wandani wake. Baadhi ya viongozi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Oburu na Sifuna wawania ngome za ODM

MAKUNDI hasimu ndani ya Orange Democratic Movement (ODM) yameongeza kasi ya shughuli zao za kisiasa mashinani katika mbio za kuwania udhibiti wa ngome za jadi za chama hicho kuelek...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

“Old Guys Have Invaded Us”: Amisi Warns Against Folding Linda Mwananchi Into United Opposition

Saboti MP Caleb Amisi has eased his position on plans to form an alternative political movement, saying he remains fully committed to Linda Mwananchi. The outspoken lawmaker said h...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kang’ata atetea uamuzi wa kuingia vuguvugu la Linda Mwananchi

KUONEKANA kwa Gavana wa Murang’a, Dkt Irungu Kang’ata, katika mkutano wa umma wa vuguvugu la Linda Mwananchi mjini Thika siku ya Jumapili kumefanya aanze kumulikwa kisiasa. Eneo l...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna ajipanga, atia guu moja nje ya ODM akianza kuwazia urais

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anatarajiwa kuongoza wimbi la viongozi kujiondoa katika chama cha ODM baada ya viongozi wa jamii ya Waluhya wanaohusishwa na mrengo wa Linda Mwananch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

ODM yafufua wito wa kutaka kushirikishwa kwenye fidia ya wahanga wa maandamano

CHAMA cha ODM kimetaka kushirikishwa kikamilifu katika mchakato wa kuwafidia waathiriwa wa ukatili wa polisi na ukiukaji wa haki za binadamu uliotokea wakati wa maandamano kati ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Hatuna haja na maandamano Nairobi, mbunge wa ODM asema

MWENYEKITI  wa ODM Kaunti ya Nairobi na Mbunge wa Makadara, George Aladwa, Jumatano alitangaza kuwa wafuasi wa chama hicho hawatashiriki katika maandamano ya Gen Z mnamo Alhamisi....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Viongozi vijana wapanga msafara wa amani Gusii baada ya shambulio la Linda Mwananchi

SIKU chache tu baada ya mtu mmoja kuuawa wakati wa shambulio dhidi ya msafara wa Linda Mwananchi huko Keumbu, viongozi vijana kutoka eneo la Gusii wametangaza msafara wa amani ili...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Amisi adai anaogelea gizani ODM baada ya kuondolewa kwenye kundi la WhatsApp

MBUNGE wa Saboti, Caleb Amisi amedai ametengwa ndani ya Chama cha ODM, akifichua kuwa aliondolewa kwenye kundi la WhatsApp la chama na sasa hapati taarifa kuhusu shughuli wala miku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Barabara telezi kwa Orengo anaposaka ufalme wa Waluo

BAADHI ya wafuasi wake humuita Nyawawa (roho ya waliokufa), wengine humuita Nyatieng (jiwe linaloweza kuua) na kwa wengine yeye ni Wuod Nyamayanga (mwana wa kiume wa Nyamayanga)....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Aladwa awarai wanachama wa ODM wasusie maandamano Saba Saba

BAADHI ya viongozi wa ODM katika Kaunti ya Nairobi wamewataka wafuasi wao wasishiriki maandamano ya Saba Saba ambayo yanapangwa kufanyika hapo kesho. Wakiongea Nairobi Jumapili,...

Read source
kenyans.co.ke /1 week ago

Linda Mwananchi Sounds Alarm Ahead of Ol Kalou By-Election

Linda Mwananchi spokesperson and Suba South MP Caroli Omondi has raised fresh concerns over the Ol Kalou by-election, claiming unusual activities in the constituency point to an at...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

TAHARIRI: Serikali inalala kazini wakati ambapo uhuni unakita mizizi nchini

SERIKALI haiwezi kuruhusiwa kukaa kimya huku visa vya uhuni wa kisiasa vikiongezeka. Kwa muda mrefu serikali imekuwa ikitoa vitisho vikali visivyotekelezwa. Kila mara viongozi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Onetam! Keter ajiunga na Linda Mwananchi ngome ya Ruto ikichemka

ALIYEKUWA Mbunge wa Nandi Hills, Alfred Keter, ameinuka tena kisiasa baada ya kipindi kirefu cha ukimya, akilenga kuvuruga ushawishi wa chama cha UDA kinachoongozwa na Rais William...

Read source
allafrica.com /1 week ago

Kenya: Linda Mwananchi Returns to Mt Kenya Ahead of Ol Kalou By-Election

[Capital FM] Nairobi -- The ODM-affiliated Linda Mwananchi faction is set to return to the Mt Kenya region with another round of political rallies, this time targeting Nyandarua Co...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kundi La Waasi Ndani Ya Odm La ‘Linda Mwananchi’

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source