Latest updates for Kumbukumbu Ya Raila Odinga

Fresh curated links around kumbukumbu ya Raila Odinga are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Raila akumbukwa kwa kupigania mageuzi na demokrasia
  • Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila
  • Ukumbusho wa Raila wageuka jukwaa la kupiga kampeni za 2027

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Raila akumbukwa kwa kupigania mageuzi na demokrasia

MAREHEMU Raila Odinga Alhamisi alikumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kupigania mageuzi ya kisiasa, uhuru wa kidemokrasia na ushirikishaji wa wananchi. Wasomi, wanahabari na w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ukumbusho wa Raila wageuka jukwaa la kupiga kampeni za 2027

MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga yamegeuka kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa huku wanasiasa wakitumia jina lake kujipigia debe kueleke...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Maadhimisho ya Raila – Vijana na wazee wakumbuka wosia wake

WAKAZI wa Kisumu wameheshimu wosia wa marehemu Raila Odinga wa kuhimiza mazungumzo kati ya vijana na wazee kuhusu changamoto za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazokabili jamii....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kilicho ndani ya nyumba ya milele ya Raila

MAKAVAZI ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Kang’o ka Jaramogi, Bondo, yameundwa kuhifadhi historia yake ya kisiasa na mchango wake katika safari ya kidemokrasia Kenya. Muundo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kauli ya Uhuru yafufua kidonda cha uchaguzi wa 2022

KAULI ya aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta kwamba bado anaamini marehemu Raila Odinga ndiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka 2022 imezua mjadala mkali wa kisiasa, huku ikifu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Oburu amkumbuka Raila katika siku ya kuzaliwa kwake

KIONGOZI wa ODM Oburu Oginga jana alimkumbuka kakake mdogo Raila Odinga akisema uhusiano wao wa kindugu hauwezi kuvunjwa na kifo. Katika ujumbe katika maadhimisho ya mwaka mmoja t...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Uhuru alikosa kuhudhuria makumbusho ya Raila kwa sababu ya hofu ya kiusalama

RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta alifuta ziara yake ya Bondo kuhudhuria kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kufuatia wasiwasi kuhusiana na usalam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Oburu asafiri Uingereza kwa matibabu, ODM ikitoa ratiba ya ukumbusho wa Raila

KIONGOZI wa ODM, Oburu Oginga, amesafiri Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa afya huku akitarajiwa kushiriki shughuli za kisiasa na Wakenya wanaoishi nchini humo. Safari hiyo im...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Wanasiasa wa upinzani na serikali washindana hafla ya Raila 

HAFLA ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga iligeuka uwanja wa ushindani wa kisiasa kati ya viongozi wa upinzani na wale wanaounga mkono...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Orengo: ‘Tinga’ alikuwa na nia ya kuwania urais 2027

GAVANA wa Siaya James Orengo amesema kuwa marehemu Raila Odinga alikuwa anajiandaa kuwania urais kwa mara ya mwisho katika uchaguzi mkuu wa 2027 kabla ya kifo chake mnamo Oktoba 15...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Maadhimisho yaanika vita baridi kati ya ODM na familia ya Raila

MWAKA mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, tofauti za kimya kimya zimeanza kujitokeza kati ya familia yake na chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kuhu...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mwaka mmoja bila Raila, Kenya yakabiliwa na vita ya urithi wa kisiasa

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Chungwa aliloacha Raila lagawanyika mwaka mmoja baada ya kifo chake

Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinamkumbuka huku kikikabiliwa na swali ambalo halijapata jibu la wazi hadi sasa. Swali hi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ziara ya Nyanza ilivyomkweza Raila Jnr katika siasa za taifa

NYOTA ya kisiasa inaonekana imeanza kumng’aria Raila Jnr, mwanawe marehemu Waziri Mkuu Raila Odinga akionekana kujitosa kwenye siasa mzimamzima kwa kuungana na Rais William Ruto ka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Onyo kali la Uhuru kwa wakazi wa Mlima Kenya 2027

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mbadi na Wandayi wasimulia wanavyomkosa Raila Odinga

Raila Odinga alikuwa zaidi ya kiongozi wa chama cha ODM. Kwa wanasiasa waliotembea naye kwa miaka mingi, alikuwa mshauri, rafiki, mzalendo na mwavuli uliowapa nafasi watu wenye mis...

Read source
nairobiwire.com /1 week ago

‘You Do Not Abandon Him’: Uhuru’s Moving Tribute to Raila Odinga

Former President Uhuru Kenyatta recounted two defining milestones in his political journey with the late former Prime Minister Raila Amolo Odinga, reflecting on their historic 2018...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kazi aliyobakisha Raila kabla ya kifo chake

USHIRIKIANO wa kisiasa alioanzisha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na Rais William Ruto kabla ya kifo chake Oktoba 15 2025, sasa unaingia katika hatua muhimu huku vyama vya UDA...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Vurugu katika kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila

HAFLA ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga ilikumbwa na vurugu katika Kituo cha Utamaduni cha Migwena, Bondo, Kaunti ya Siaya, huku maku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /6 days ago

Raila Junior: Nitakufa na Ruto 2027

ODINGA Junior ameapa kubaki katika chama cha ODM na kumuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena mwaka ujao, licha ya tofauti za kisiasa zinazozidi kujitok...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Aliyebuni Azimio La Umoja asikitika Raila anasahaulika haraka

MFANYABIASHARA Ronny Raburu, anayesema ndiye aliyependekeza jina Azimio la Umoja kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga mwaka 2021, amesema amesikitishwa na uamuzi wa viongozi wa u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Vigogo wasusia hafla ya kumbukumbu ya Raila

KUMBUKUMBU ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga ilikumbwa na suintofahamu Alhamisi baada ya baadhi ya vigogo wa chama hicho na Rais William Ruto kuk...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Kumbukumbu Ya Raila Odinga

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source