Sifuna sasa alenga kusajili Linda Mwananchi
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameanza mchakato wa kusajili Linda Mwananchi kuwa chama cha kisiasa atakachotumia kuwania urais mnamo 2027. Washirika wa Bw Sifuna wamethibitisha...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Jina Linda Mwananchi Party Of Kenya (Lmpk).
Fresh curated links around jina Linda Mwananchi Party of Kenya (LMPK) are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameanza mchakato wa kusajili Linda Mwananchi kuwa chama cha kisiasa atakachotumia kuwania urais mnamo 2027. Washirika wa Bw Sifuna wamethibitisha...
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na washirika wake Jumanne waliendeleza juhudi zake za kusajili Linda Mwananchi kama chama cha kisiasa watakachotumia kuwania urais mwaka 2027. Viong...
MVUTANO kuhusu usajili wa chama kipya cha kisiasa cha Linda Mwananchi Party umechukua mwelekeo mpya baada ya mawakili wa Charles Wanyonyi, aliyekuwa wa kwanza kujaribu kukisajili k...
VUGUVUGU la Linda Mwananchi limetishia kufanya maandamano ya kila siku nje ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) iwapo ombi lake la kusajiliwa kama chama cha kisiasa hali...
HUENDA hakuna chama cha kisiasa nchini kinachofahamu umuhimu wa kulinda chapa yake kuliko Orange Democratic Movement (ODM). Waanzilishi wake bado wanakumbuka jinsi kuchelewa kusaj...
Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amesema vuguvugu la Linda Mwananchi litageuzwa kuwa chama cha kisiasa kabla ya mwisho wa mwaka huu, huku likijia...
The Linda Mwananchi group has said it has worked to register the movement as a political party, but its efforts have failed. On Saturday, July 18, the group’s spokesperson and Suba...
Digital Communication Strategist Pauline Njoroge has resigned from the Jubilee Party after 14 years, bringing her time as the party’s deputy organizing secretary and a member of it...
VUGUVUGU la Linda Mwananchi linazidi kubadili sura ya siasa nchini huku likiwavutia wanaowania ugavana kutoka maeneo mbalimbali ya Kenya. Kilichoanza kama jukwaa la viongozi wal...
The announcement comes after Sifuna and his team raised concerns over the rejection of their application to reserve the name Linda Mwananchi Party of Kenya (LMPK).
Linda Mwananchi spokesperson and Suba South MP Caroli Omondi has raised fresh concerns over the Ol Kalou by-election, claiming unusual activities in the constituency point to an at...
[Capital FM] Nairobi -- A group of senior Orange Democratic Movement (ODM) leaders aligned to the Linda Mwananchi movement has declared that it has abandoned its bid to reclaim the...
[Capital FM] Nairobi -- The ODM-affiliated Linda Mwananchi faction is set to return to the Mt Kenya region with another round of political rallies, this time targeting Nyandarua Co...
[Capital FM] Nairobi -- Nairobi Senator Edwin Sifuna has signalled that the Linda Mwananchi movement could abandon the name and move to a different political party as efforts to re...
KIONGOZI wa vuguvugu la Linda Mwananchi, Bw James Orengo, amemkaribisha rasmi aliyekuwa Waziri wa Masuala ya Jinsia, Bi Aisha Jumwa, kujiunga na upinzani katika juhudi za kumuondoa...
ALIYEKUWA Waziri wa Jinsia, Aisha Jumwa amejiunga rasmi na chama cha Wiper Patriotic Front, akisema yuko tayari kukabiliana na vyama vinavyounga mkono serikali jumuishi katika ucha...
HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...
MUUNGANO wa upinzani umeangukiwa na mizimwi ya dhiki chungu nzima za kisiasa. Muungano huo umeendelea kubanwa katika kuandaa mikutano huru kwa kushambuliwa na wahuni mara kwa mara...
MBUNGE wa Nyaribari Chache, Zaheer Jhanda, amevunja kimya chake kuhusu uvamizi dhidi ya msafara wa viongozi wa Linda Mwananchi katika Soko la Keumbu, Kaunti ya Kisii, zaidi ya wiki...
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anatarajiwa kuongoza wimbi la viongozi kujiondoa katika chama cha ODM baada ya viongozi wa jamii ya Waluhya wanaohusishwa na mrengo wa Linda Mwananch...
BAADA ya kufanya mikutano iliyofanikiwa katika kaunti za Bungoma na Trans Nzoia wiki mbili zilizopita, viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi sasa wamehamishia kampeni zao katika...
ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (LSK), Faith Odhiambo, ameonyesha wazi kuwa sasa yuko tayari kuingia kikamilifu katika siasa baada ya kujitokeza hadharani kwenye mkut...
SENETA wa Kakamega, Dkt Boni Khalwale amesema kuwa amesajili chama kipya ambacho kitawapa makao wanasiasa waasi wa vyama vikubwa nchini. Kwenye mahojiano na Taifa Leo, Dkt Khalwal...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.