Wagonjwa wasota hospitali za rufaa kusubiri kipimo cha MRI
Soma zaidi...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Hakuna Huduma Hospitalini.
Fresh curated links around hakuna huduma hospitalini are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi...
HOSPITALI za umma katika kaunti kadhaa zinakabiliwa na uhaba wa dawa muhimu na vifaa vya matibabu huku baadhi ya serikali za kaunti zikitenga fedha nyingi kwa safari na makongamano...
SERIKALI inapaswa kuingilia kati kwa dharura mzozo unaoendelea kati yake na wahudumu wa afya hasa wauguzi ili kukomesha migomo na kurejesha huduma katika hospitali za umma nchini....
Uwekezaji wa sekta binafsi katika hospitali za umma umeelezwa kuwa umeleta mafanikio makubwa katika kupunguza gharama za matibabu na usafirishaji wa wagonjwa kwenda nje ya nchi.
Soma hapa...
HUDUMA za matibabu katika Hospitali ya Magadi zinaendelea bila kukatizwa licha ya mzozo unaoendelea kati ya Serikali na kampuni ya Tata Chemicals. Hata hivyo, hofu imetanda miongo...
Mtoto sasa anaweza kutambuliwa kama mgonjwa, kufuatiliwa na kupata matibabu akiwa bado tumboni, baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuzindua chumba cha upasuaji cha kisasa...
Serikali imeanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Rufiji, hatua inayolenga kupunguza safari ndefu ya zaidi ya kilomita 300 kwa wananchi wa Rufiji, Kibiti, Mafia, Mkoa wa Pwani...
Soma hapa...
Kwa wananchi wa Malangali mkoani Iringa, kupata huduma za afya mbali na maeneo yao kumekuwa na maana ya kuandaa fedha za usafiri, muda na wakati mwingine gharama za kumsindikiza mg...
Safari ndefu za kutafuta matibabu zilizokuwa zikiwakabili wagonjwa wa saratani wa Arusha na mikoa jirani sasa zimeanza kupungua baada ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount...
SERIKALI imelaumiwa kwa kupuuza sekta ya afya ya umma iliyoathiriwa na mgomo wa wauguzi huku ikishughulikia sekta nyingine na kuacha wagonjwa kuteseka. Wakati wafanyakazi wa sekta...
Soma hapa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuhakikisha rushwa inatokomezwa kabisa katika hospitali hiyo, akisema vit...
MUUNGANO wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga Kenya (KNUNM) jana ulisitisha mgomo wake wa kitaifa uliodumu kwa siku 41 baada ya kufikiana na Baraza la Magavana Nchini (CoG). Uamuzi...
Soma hapa...
Katika maisha ya kila siku, jamii nyingi duniani zimekuwa na imani kwamba maziwa yanaweza kusaidia kama huduma ya kwanza katika baadhi ya matatizo ya kiafya, ikiwamo mtu kunywa sum...
Polisi Mkoa wa Simiyu wanawashikilia watu watatu wakiwamo watumishi wanaofanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa betri 40 na kifaa...
MGONJWA anapoingia hospitalini hupokea matibabu akiamini dawa alizopewa ni salama na zenye ubora unaostahili. Hata hivyo, uchunguzi unaonyesha kuwa baadhi ya dawa zenye kasoro huin...
Wizara ya Afya Zanzibar imetenga vituo vya afya na zahanati 17 Unguja na Pemba kwa ajili ya kutoa huduma za dharura, endapo mvua kubwa za El Nino zitasababisha athari za kiafya kwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi vifaa tiba viwili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwa ajili ya kusaidia huduma kwa watoto wanaozaliwa kabl...
Soma hapa...
Soma hapa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.