Latest updates for Familia Ya Odinga

Fresh curated links around familia ya Odinga are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Migwena: Uwanja wa mapenzi na historia ya familia ya Odinga
  • Maadhimisho yaanika vita baridi kati ya ODM na familia ya Raila
  • Mwisho wa Raila ulikuwa mwisho wa utawala wa familia ya Odinga?

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Migwena: Uwanja wa mapenzi na historia ya familia ya Odinga

MUDA mrefu kabla ya Migwena kuwa kitovu cha mikutano mikubwa ya kisiasa na kitamaduni nchini, uwanja huo uliokuwa ukitumiwa na vijana kutafuta wachumba na jamii jirani kusuluhisha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Maadhimisho yaanika vita baridi kati ya ODM na familia ya Raila

MWAKA mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, tofauti za kimya kimya zimeanza kujitokeza kati ya familia yake na chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kuhu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mwisho wa Raila ulikuwa mwisho wa utawala wa familia ya Odinga?

MWAKA mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, wengi wanajiuliza iwapo familia ya Jaramogi Oginga Odinga itaendelea kudumisha ufalme na kudhibiti siasa za nchi. Kofia aliyobeba bin...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kofia ya kitamaduni alivyovikwa Winnie yaibua mjadala kuhusu urithi wa Raila

Kofia moja ya kitamaduni imezua swali kubwa katika familia ya Odinga: nani atavaa viatu vya kisiasa vya Raila Odinga—binti yake Winnie au mwanawe Raila Junior? Winnie alipovikwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Winnie Odinga na Kakake Raila Junior washindana kurithi baba yao kisiasa

SUALA la nani atakayevishwa urithi wa kisiasa wa marehemu Raila Odinga limeingia sura mpya baada ya bintiye Winnie Odinga kutawazwa kuwa mrithi wa kisiasa wa baba yake. Winnie,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Raila Junior: Nitakufa na Ruto 2027

ODINGA Junior ameapa kubaki katika chama cha ODM na kumuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena mwaka ujao, licha ya tofauti za kisiasa zinazozidi kujitok...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Winnie Odinga apewa baraka za wazee amrithi babake Raila

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga, Jumamosi, alitawazwa kwa njia ya ishara na baadhi ya wazee wa jamii ya Waluo kuwa mrithi wa kisiasa wa babake marehemu Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ubabe ndani ya ODM Oburu akiendelea kukosekana

UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya ch...

Read source
allafrica.com /1 month ago

Kenya: Odinga's Family Plans Activities for First Anniversary Commemorations

[Capital FM] Nairobi -- Professor Adams Oloo has been appointed to chair a committee coordinating activities to mark the first anniversary of the death of former Prime Minister Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Chungwa aliloacha Raila lagawanyika mwaka mmoja baada ya kifo chake

Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinamkumbuka huku kikikabiliwa na swali ambalo halijapata jibu la wazi hadi sasa. Swali hi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ida aidhinisha Raila Jnr kugombea ubunge Kibra 2027

MJANE wa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Ida Odinga, amemuidhinisha mwanawe Raila Junior kuwania kiti cha ubunge Kibra katika uchaguzi mkuu wa 2027. Mama Ida alitoa kauli hiyo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Wanamtusi mjane, watoto wa Raila, Sifuna akashifu viongozi wa ODM

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na baadhi ya viongozi wa Linda Mwananchi wamewakosoa baadhi ya viongozi wa ODM kwa kumkosea heshima mjane wa Raila Odinga, Mama Ida pamoja na familia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sakaja na Aladwa pabaya Nairobi wabunge wa ODM wakianza kuunga Babu hadharani

CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...

Read source
kenyans.co.ke /1 week ago

Winnie Odinga Declares Interest in Nairobi Senatorial Seat

The daughter of the late former Prime Minister Raila Odinga has revealed her new political direction, as she sets her eye on a Nairobi seat.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Vizingiti vinavyokabili azma ya useneta ya Winnie Odinga

TANGAZO la Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga kuwa atawania useneta wa Nairobi unatarajiwa kuvuruga muungano wa Linda Mwananchi na upinzani siasa z...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ziara ya Nyanza ilivyomkweza Raila Jnr katika siasa za taifa

NYOTA ya kisiasa inaonekana imeanza kumng’aria Raila Jnr, mwanawe marehemu Waziri Mkuu Raila Odinga akionekana kujitosa kwenye siasa mzimamzima kwa kuungana na Rais William Ruto ka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ondiek alivyobwaga shemeji yake James Orengo uchaguzi wa 1983

STEPHEN Oluoch Ondiek alikuwa miongoni mwa wanasiasa wa Nyanza waliopitia nyakati tofauti za siasa za Kenya, kutoka enzi ya chama kimoja hadi mfumo wa vyama vingi. Mwaka 2001, Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Azma ya Raila Jnr Kibra yachemsha Orero, Imran

KUJITOSA kwa Raila Junior katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Kibra, Nairobi, kumeanza kuzua pingamizi miongoni mwa baadhi ya wawaniaji wa ODM, huku mwana huyo wa aliyekuwa Waziri...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ukumbusho wa Raila wageuka jukwaa la kupiga kampeni za 2027

MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga yamegeuka kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa huku wanasiasa wakitumia jina lake kujipigia debe kueleke...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto atuliza ODM, aahidi kudumisha falsafa ya uongozi wa Raila Odinga

RAIS William Ruto jana alionekana kupunguza mvutano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, akisema vyama hivyo ni washirika katika Serikali Jumuishi akiahidi kulinda urithi wa kisiasa wa m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Mbadi na Wandayi wasimulia wanavyomkosa Raila Odinga

Raila Odinga alikuwa zaidi ya kiongozi wa chama cha ODM. Kwa wanasiasa waliotembea naye kwa miaka mingi, alikuwa mshauri, rafiki, mzalendo na mwavuli uliowapa nafasi watu wenye mis...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Azma ya Raila Jnr Kibra yachemsha Orero, Imran

KUJITOSA kwa Raila Junior katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Kibra, Nairobi, kumeanza kuzua pingamizi miongoni mwa baadhi ya wawaniaji wa ODM, huku mwana huyo mdogo wa aliyekuwa W...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Familia Ya Odinga

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source