Aina mpya ya muhogo unaostahimili maradhi yanayoharibu zao zima kwa mpigo
JULIA Njagi anatembea kwa umakini katika shamba la majaribio ya ukuzaji wa aina mpya ya mihogo katika Shirika la Utafiti wa Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo (Kalro), Kandar...