Jinsi mwalimu mkuu alivyoripoti moto katika bweni Utumishi Academy Gilgil
Maelezo yameibuka kuhusu jinsi moto mbaya ulioteketeza bweni katika shule ya Utumishi Girls Senior Secondary School huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, ulivyoripotiwa kwa mara ya kwanza...