Sakaja na Aladwa pabaya Nairobi wabunge wa ODM wakianza kuunga Babu hadharani
CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...