Ol Kalou: Gachagua ashutumu IEBC akisema imeshindwa kuzima serikali kuwahonga wapigakura
KIONGOZI wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Bw Rigathi Gachagua, ameshambulia vikali Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), akiishutumu kwa kushindwa kutekeleza waji...