Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta
Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...