Rais kukita kambi Kajiado siku 3 kukagua miradi na kupigia debe ‘rekodi yake ya maendeleo’
RAIS William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Kajiado, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi kama juhudi za kuimarisha maendeleo na wakati huo huo kujiweka katika nafa...