Wanne wanyakwa kwa kuiba mchele wa pishori wa Sh2 bilioni siku ya Saba Saba
WASHUKIWA wanne wamezuiliwa kwa siku 14 huku polisi wakiendelea na uchunguzi kuhusu wizi wa magunia ya mchele wa Pishori kutoka kwa shehena yenye thamani ya Sh2 bilioni iliyokuwa i...