Serikali kupanua huduma za urekebishaji afya nchi nzima
Soma hapa...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Wizara Ya Afya.
Fresh curated links around Wizara ya Afya are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma hapa...
Soma hapa...
Soma hapa...
Mikoa mbalimbali nchini imeongeza juhudi za kuhamasisha wananchi kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote huku viongozi wakisisitiza umuhimu wa elimu kwa jamii, usajili wa walengwa na upa...
Rais wa Tanzania Health Summit, Dk Omary Chillo. Zaidi ya machapisho ya tafiti za afya na sayansi 200, yanatarajiwa kutolewa katika mkutano wa mwaka huu ulioanza leo Oktoba 5 hadi...
Uwekezaji katika sekta ya afya, uzalishaji wa dawa na chanjo, matumizi ya teknolojia na ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi vinatarajiwa kutawala Kongamano la 13 la Afya...
Soma hapa...
Wizara ya Afya imesema hadi sasa hakuna mgonjwa wa Ebola nchini Tanzania, huku ikiimarisha hatua za kujikinga na kukabiliana na ugonjwa huo kufuatia mlipuko katika Jamhuri ya Kidem...
Wataalamu wa afya barani Afrika wametaka kuimarishwa kwa ushirikiano wa kitaalamu na kubadilishana taarifa ili kudhibiti magonjwa yanayovuka mipaka na kuboresha huduma za afya kwa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuhakikisha rushwa inatokomezwa kabisa katika hospitali hiyo, akisema vit...
Soma zaidi...
Soma hapa...
Wakati mataifa ya Kenya, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yakiripoti maambukizi ya Ebola, wataalamu wa afya nchini Tanzania wamependekeza hatua saba za kuimarisha k...
SERIKALI imelaumiwa kwa kupuuza sekta ya afya ya umma iliyoathiriwa na mgomo wa wauguzi huku ikishughulikia sekta nyingine na kuacha wagonjwa kuteseka. Wakati wafanyakazi wa sekta...
Ulishawahi kufikiria, wewe kijana, namna bora ya kutunza afya yako ili uje kuwa na afya njema uzeeni?
Soma hapa...
Wizara ya Afya Zanzibar imetenga vituo vya afya na zahanati 17 Unguja na Pemba kwa ajili ya kutoa huduma za dharura, endapo mvua kubwa za El Nino zitasababisha athari za kiafya kwa...
Soma hapa...
SERIKALI inapaswa kuingilia kati kwa dharura mzozo unaoendelea kati yake na wahudumu wa afya hasa wauguzi ili kukomesha migomo na kurejesha huduma katika hospitali za umma nchini....
Wizara ya Afya imewataka wananchi kutotumia kiholela dawa ya Naltrexone inayotumika katika matibabu ya uraibu wa pombe, ikisisitiza kuwa mgonjwa anapaswa kufanyiwa tathmini ya kita...
Wadau wa afya Tanzania wametaja mambo matano yanayotishia afya na ustawi wa vijana na balehe, wakitaka huduma na taarifa za afya ya uzazi ziwafikie kwa wakati na kwa namna inayokid...
Tanzania na Global Fund zimeingia katika hatua ya mwisho ya maandalizi ya ruzuku mpya ya afya ya GC8, inayolenga kuimarisha mapambano dhidi ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(VVU),...
Soma hapa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.