Wasichana 9 wa Utumishi Girls wanaoshukiwa kuchoma bweni watupwa rumande
MAHAKAMA ya Naivasha imeamuru wanafunzi tisa wa Shule ya Wasichana ya Utumishi Senior School wanaoshukiwa kuhusika na uchomaji wa bweni uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 wazuiliw...