Latest updates for Wanasiasa Wenye Ndimi Za Moto
Fresh curated links around Wanasiasa wenye ndimi za moto are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Sakata la mabasi Stendi ya Magufuli bado moto
- Yabainika ni moto nyuma ya pazia kila mmoja akijiamini anaweza ‘kupambana na Ruto’
- Kivumbi Gachagua na Murkomen wakivurugana kwa maneno makali: ‘Umelewa madaraka’
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Yabainika ni moto nyuma ya pazia kila mmoja akijiamini anaweza ‘kupambana na Ruto’
HUKU viongozi wa upinzani wakiharakisha juhudi za kuunda muungano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, changamoto kubwa si tena iwapo wataungana kumpinga Rais William Ruto, b...
Kivumbi Gachagua na Murkomen wakivurugana kwa maneno makali: ‘Umelewa madaraka’
JOTO la kisiasa nchini limezidi kupanda huku viongozi wa upinzani wakimjia juu Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, kufuatia msururu wa mashambulizi ya maneno dhidi ya kiongozi wa...
Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta
Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...
Gachagua awasha moto kwa kutaka vyama vya Mlima Kenya vivunjwe
MVUTANO wa kisiasa unaendelea kutokota katika eneo la Mlima Kenya na kutishia juhudi za kuunganisha upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka ujao. Chanzo cha mzozo huo ni matamshi ya...
MAONI: Tuzoee kama nchi kukubali maoni na mitazamo kinzani
KADRI uchaguzi mkuu unavyojongea ndivyo tabia ya kufadhaisha isiyoruhusu mtazamo na msimamo tofauti inavyozidi kujitokeza. Katika taifa linalojivunia demokrasia na utawala wa kika...
Wanasiasa mashakani mali ikipigwa mnada kwa kulemewa na madeni
WANASIASA wengi nchini huchora taswira ya watu wasioweza kutikiswa kutokana na mamlaka wanayoshikilia, misafara ya magari, walinzi na bajeti kubwa wanazosimamia. Lakini hali hubad...
Vijana ACT- Wazalendo waja na azimio la Dar es Salaam, Mpina asema…
Soma hapa...
Matiang’i awaonya viongozi dhidi ya kufadhili wahuni
NAIBU Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Dkt Fred Matiang’i, ameonya kuwa Kenya iko katika hatari kutokana na uhuni wa kisiasa. Aliwataka viongozi kuacha kufadhili makundi ya wahuni...
Viongozi wa dini watia neno msimamo wa Maaskofu Katoliki
Soma hapa...
Ni uoga unawasumbua au?
MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro na baadhi ya wanasiasa wa ODM wamejipata katika hali ngumu kisiasa baada ya kushutumiwa kama viongozi vuguvugu ambao hawaegemei mrengo wa serikali ama...
UCHAMBUZI WA MJEMA: Tunahitaji moshi mweupe kabla ya uchaguzi mkuu 2030
Soma zaidi...
KONA YA MALOTO: Huyu ndiye Brian Mundubile, Tundu Lissu wa Zambia
Soma zaidi hapa...
Upinzani na safari ya ujenzi wa kizazi kipya chenye ushawishi
Soma zaidi hapa...
Viongozi wasizuiwe kufanya kampeni popote ingawa busara yawahitaji kuepuka uchochezi
KILA kiongozi anaruhusiwa kufanya kampeni mahala popote nchini kwa sababu Kenya ni taifa huru na kila mwanasiasa ana haki ya kuendeleza ajenda yake ya kisiasa. Aliyekuwa Naibu Rai...
TAHARIRI: Serikali inalala kazini wakati ambapo uhuni unakita mizizi nchini
SERIKALI haiwezi kuruhusiwa kukaa kimya huku visa vya uhuni wa kisiasa vikiongezeka. Kwa muda mrefu serikali imekuwa ikitoa vitisho vikali visivyotekelezwa. Kila mara viongozi wa...
Sifuna apokelewa kishujaa Magharibi, Wantam ikitanda hewani
ENEO la Magharibi limegeuka uwanja mkuu wa mapambano ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku Rais William Ruto na viongozi wa upinzani wakilenga zaidi ya milioni 3.3. Ma...
Makada Chadema, mhadhiri UDOM kortini kwa ugaidi
Soma hapa...
Mbio za uchaguzi 2030 zinavyopasua vigogo CCM
Soma zaidi hapa...
Wantam: Sifuna aoshewa lami, apokelewa kishujaa Bungoma
KIFO cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kimebadilisha kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa siasa za Kenya, huku Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akiibuka kama mmoja wa viongozi wanaotik...
Siasa sasa zapelekwa WhatsApp uchaguzi wa 2027 ukikaribia
KATIKA siasa za Kenya za sasa, mapambano makali hayafanyiki tena kwenye mikutano ya hadhara, Bunge au runinga pekee. Sasa vita hivyo vimechacha kwenye makundi ya WhatsApp. Makun...
Wanawake pia hutumika kueneza uhuni wa kisiasa-Utafiti
WANAWAKE wanazidi kuwa sehemu muhimu lakini isiyoonekana ya mitandao ya wahuni wa kisiasa nchini, huku wakitumika kuhamasisha vijana, kusafirisha silaha kwa siri na kukusanya taari...
Magenge ya wahuni wanawake yaongoza vurugu za kisiasa
KWA miongo kadhaa, taswira ya mhuni wa kisiasa nchini Kenya ilikuwa ya kijana asiye na ajira, aliyevalia fulana ya chama cha kisiasa na kurushia mawe wapinzani kabla ya kutoweka kw...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.