Wauguzi wavamiwa na wahuni Kisii wakijiandaa kuwasilisha malalamishi kwa serikali
WAUGUZI wanaoendelea na mgomo katika Kaunti ya Kisii, jana walishambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wahuni walipokuwa wakijiandaa kushiriki mgomo wa amani na kuwasilisha malalamishi...